Hivyo vikombe ulivyochukua ni vya historia lakini miaka hii huna chakutamba tangu 2000 mpaka leo hakuna club yoyote ya England ilioizidi Chelsea kwa makombe na pia sisi ndio tulioingia Mara nyingi UEFA nusu fainal kuliko team yoyote ya England
London is 💙💙💙💙💙Kumbukeni, we are the king of London 💪💪💪
Huwaga mnaokoteza wachezaji wa jioni halafu eti mnataka makombe..hii timu na Fulham mnatofauti gani?
UjitambuiHii timu iyondolewe London ipelekwe hata vijijini huko England kwani hakuna vijiji? Ni aibu London kuwa na club kama hii takataka..
#CFC
Tofauti ya Arsenal na Fulham ni Arsenal ina uhakika wa kuifunga Chelsea kila wanapokutana.Huwaga mnaokoteza wachezaji wa jioni halafu eti mnataka makombe..hii timu na Fulham mnatofauti gani?
Chelsea imeanzishwa mwaka 2000? Mbona kila shabiki ndiyo mwaka anaotaja klabu yake imeanza kua na historia?Hivyo vikombe ulivyochukua ni vya historia lakini miaka hii huna chakutamba tangu 2000 mpaka leo hakuna club yoyote ya England ilioizidi Chelsea kwa makombe na pia sisi ndio tulioingia Mara nyingi UEFA nusu fainal kuliko team yoyote ya England
Kwanza kabisa UEFA una ngapi?Chelsea imeanzishwa mwaka 2000? Mbona kila shabiki ndiyo mwaka anaotaja klabu yake imeanza kua na historia?
Hivi hata Legia Marle beki wenu wa kulia kuna anayemjua kati ya nyinyi mnaokuja kupiga kelele hapa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hili genge la wahuni bado lina exist?
Hapo umeshamshona mdomoKwanza kabisa UEFA una ngapi?
King of London my foot.Club kubwa hupimwa pia na wingi wa vikombe pamoja na Ukwasi walionao.
Kwa vigezo hivi Si Chelsea wala huyo Aston Villa anayetukaribia.
We are Gunners forever
Kuweka historia kwa wachezaji wa mafungu mafungu?Kama vikombe nimechukua vingi kabla yako.......Utaniambia nini
Kama UEFA nimeshiriki mara nyingi kabla yako.....Utaniambia Nini
Mkuu Mwaka huu, tunakwenda kuweka Historia
Hamna stori za una ngapi.Kwanza kabisa UEFA una ngapi?
Kwanini nikiuliza issue ya UEFA mashabiki wa Arsenal mnapanic Sana?Hamna stori za una ngapi.
Maswali mawili tu unayaruka unaleta komedi zingine
Nikipaniki hua sijibu nasubiri niwe sawa kiakili.Kwanini nikiuliza issue ya UEFA mashabiki wa Arsenal mnapanic Sana?
Sasa unataka nikutajie miaka ya Zamani wewe ulizaliwaNikipaniki hua sijibu nasubiri niwe sawa kiakili.
Plastiki unataka timu yako iangaliwe kuanzia 2000 kwahiyo legia Marle tumfute kwamba hajawahi kuchezea chelsea kwakua alicheza kabla ya 2000?
Sasa wewe hiyo 2000 ulikua umezaliwa?Sasa unataka nikutajie miaka ya Zamani wewe ulizaliwa