Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee wa Statistics tuishi humo, Stats zinaonesha Saka, Emilison, partey na Tierney ndio nguzo ya timu, Mimi namuongeza na Ben White hahha
 
Usajili wa msimu huu ni mgumu kwa kila timu; kweli Covid kiboko.
 
Sisi tuna UEFA mbili wewe una UEFA ngapi? Na kubahatisha kukoje?
 
Ndio mnavyojidanganya hiv kwa sajili hizi za pound mil 2 ndio mtafanikiwa au mtazidi kuwa wasindikizaji?
Kama vikombe nimechukua vingi kabla yako.......Utaniambia nini 😜😜

Kama UEFA nimeshiriki mara nyingi kabla yako.....Utaniambia Nini😜😜

Mkuu Mwaka huu, tunakwenda kuweka Historia πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Mzee wakazi, wewe hujengi bali unabomoa.
Nikiikumbuka Arsenal ya kina Dasilva, Viera, Henry, Ashley Cole, Lijumbag, Wiltod, kolo ture, Becampu, huwa najipa jibu kua Arsenal inakwenda kua kua kama Sandaland, haki ya mama.
Mkuu ni kweli Arsenal yetu imeyumba lakini bado ni Club kubwa Ulaya.

Tutafika tu πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Kama vikombe nimechukua vingi kabla yako.......Utaniambia nini 😜😜

Kama UEFA nimeshiriki mara nyingi kabla yako.....Utaniambia Nini😜😜

Mkuu Mwaka huu, tunakwenda kuweka Historia πŸ’ͺπŸ’ͺ
Hivyo vikombe ulivyochukua ni vya historia lakini miaka hii huna chakutamba tangu 2000 mpaka leo hakuna club yoyote ya England ilioizidi Chelsea kwa makombe na pia sisi ndio tulioingia Mara nyingi UEFA nusu fainal kuliko team yoyote ya England
 
Chelsea ni club ya vijana wenye umri chini ya miaka 25.
Kipindi naanza kushabikia soccer la uingereza (1998) mpinzani wangu mkubwa alikua Arsenal na Liverpool, sikuwahi kuwaza Chelsea ya Dimateo itakuja kua club kubwa.
Kweli maisha yanakwenda kasi.
 
Ilikua club kubwa, ila kwa sasa ni kama Aston villa.
Club kubwa hupimwa pia na wingi wa vikombe pamoja na Ukwasi walionao.

Kwa vigezo hivi Si Chelsea wala huyo Aston Villa anayetukaribia.

We are Gunners forever πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…