Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Canal + tatizo lake ni ya kifaransa na jinsi ya kumpata mtu muaminifu aliyepo Burundi au Kigoma wa kukulipia. IPTV ni gharama kwenye internet na mikoani sijui kama unaweza kupata streaming ya uhakika. Bado DSTV hana option.Mlmi nilikua natumia cable so gharama za kuona ligi na michuano yote ilikua ni 13K kwa mwezi.
Sasa nipo mkoani nataka kujua kama kuna king'amuzi kinachoonyesha epl kwa bei nafuu. Nimefuatilia canal + ila mchakato wa kukipata na kuwubscribe naona ni moto.
Naomba suggestion


