Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,667
Hiyo ni takataka tu
Timu yenu!!Wachezaji wengi wa Arsenal wakitoka kwenye timu yetu wanaenda kupata mafanikio (Van persie Fabregas Ramsey Sagna Clichy Chamberlain Vermaelen Willock(huyu kawa EPL best player mwezi May) na even Giroud kabeba champions league ?kumanina Arsenal
hamia na wewe huko kwenye timu nyingine ukapate mafanikio...mbona simple tu.Watu wa Arsenal wabaya sana, kumbe London is blue lakini hata hawasemi.!
Bado kizungumkuti, Mtu ambaye kuna uwezekano mkubwa wa kusajiliwa ni golikipa tuliyekuwa naye kwa mkopo - Ryan. Odergaard, Xhaka na Cellabos most likely wanaondoka jumla kumsikilizia Ancelloti. Bissouma hakuna uwezekano kwa sababu ya fee, Buendia same as Bissouma. Xhaka anaondoka, inahitaji a strong replacement,ukizingatia Partey anaandamwa na majeruhi. Tunahitaji namba 3 ya uhakika kumsaidia Tierney. Sijui Arteta alikosana nini na Cedric?Something is seriously wrong pale Arsenal.
I get impression that everybody wants to leave. Xhaka is flattered by the news that Mourinho wants him. Anamsifia kwamba Mourinho knows how to win titles. Alipokuwa akitakiwa na Monchengladbach alisema live kwamba "I am very happy at Arsenal" lakini Leo anasema "
Of course I read [about the interest]. But now I'm one 100 per cent focused on the national team here," the 28-year-old told Blick as he prepares to compete at Euro 2020 with Switzerland.
"That's more important than Arsenal or rumours right now. I have another two years on my contract in London and Arsenal they know what they have in me. When the time comes to talk about a transfer, I'll be here."
Bellerin hajatoka na kusema kwamba he is happy at arsenal and wants to stay. Leno mpaka speculations zinashika kasi ujue something is going on.
Wanaotaka kubaki na kujifanya wako tayari kuipambania arsenal ni Willock na kina Maitland Niles😫😫😫😫
Tulimtukana sana sana sana Unai, kudaadeki waimba mapambio wote wa Arteta uzi wameukimbia huu.
Ozil, Kolasinac na Guendouzi ndio walikuwa tatizo kwenye timu au nasema uongo isajorsergio
Watu wanasajili huko Sisi tunahangaika tu na watu ambao hata hawajulikani duh!
Aisee! Arsenal ya sasa kila nikiwaza naingiwa na masikitiko. Ozil, Kolasinac, Mustafi, Guendouzi, Toreirra waliokuwa tatizo hawapo haya matatizo yaliendelea vipi?Something is seriously wrong pale Arsenal.
I get impression that everybody wants to leave. Xhaka is flattered by the news that Mourinho wants him. Anamsifia kwamba Mourinho knows how to win titles. Alipokuwa akitakiwa na Monchengladbach alisema live kwamba "I am very happy at Arsenal" lakini Leo anasema "
Of course I read [about the interest]. But now I'm one 100 per cent focused on the national team here," the 28-year-old told Blick as he prepares to compete at Euro 2020 with Switzerland.
"That's more important than Arsenal or rumours right now. I have another two years on my contract in London and Arsenal they know what they have in me. When the time comes to talk about a transfer, I'll be here."
Bellerin hajatoka na kusema kwamba he is happy at arsenal and wants to stay. Leno mpaka speculations zinashika kasi ujue something is going on.
Wanaotaka kubaki na kujifanya wako tayari kuipambania arsenal ni Willock na kina Maitland Niles😫😫😫😫
Tulimtukana sana sana sana Unai, kudaadeki waimba mapambio wote wa Arteta uzi wameukimbia huu.
Ozil, Kolasinac na Guendouzi ndio walikuwa tatizo kwenye timu au nasema uongo isajorsergio
Watu wanasajili huko Sisi tunahangaika tu na watu ambao hata hawajulikani duh!
You are right mkuu.Bado kizungumkuti, Mtu ambaye kuna uwezekano mkubwa wa kusajiliwa ni golikipa tuliyekuwa naye kwa mkopo - Ryan. Odergaard, Xhaka na Cellabos most likely wanaondoka jumla kumsikilizia Ancelloti. Bissouma hakuna uwezekano kwa sababu ya fee, Buendia same as Bissouma. Xhaka anaondoka, inahitaji a strong replacement,ukizingatia Partey anaandamwa na majeruhi. Tunahitaji namba 3 ya uhakika kumsaidia Tierney. Sijui Arteta alikosana nini na Cedric?
Sijuhi tunapooelekea lakini mimi ni muumini wa biashara asubuhi. panic buying ,tuishiwa kupigwa. Sio sahihi timu kubwa kama Arsenal kutegemea wachezaji wa mkopo.
Tuendelee kusubiri.
Duh kumbe Cedric aliamua kufunguka???Aisee! Arsenal ya sasa kila nikiwaza naingiwa na masikitiko. Ozil, Kolasinac, Mustafi, Guendouzi, Toreirra waliokuwa tatizo hawapo haya matatizo yaliendelea vipi?
Humu ndani tulisema watu wasitumie hisia na chuki binafsi bali waangalie katika angle ya mpira hawakuelewa sasa mengi tuliyoyasema yamekuwa. Tatizo sasa ni wazi wachezaji hawana mahusiano mazuri baina yao na Arteta x Edu.
Wakati tunaelekea mwisho wa msimu naamini wengi hawakumuona Cedric, mnafahamu sababu? Alimwambia Arteta kuhusu masuala ya mfumo wakati wa mazoezi na tatizo likaanza hapo.
Kwa kocha wa namna hii na viongozi wake wa hivi type ya Edu, Arsenal haiwezi kusogea popote. Tusuibiri uthibitisho wa watu 6 wanaoondoka tuzidi kuona tatizo ni kikosi au genge la watu.
Competitors wetu sasa ni Aston villaArsenal made their first formal offer for Norwich midfielder Emi Buendia on Wednesday, football.london understands.
The bid, believed to be in the region of £30million inclusive of add-ons, was also matched by fellow Premier League side Aston Villa who want to prize Buendia away from Carrow Road.
Bora umesema ukweli.Competitors wetu sasa ni Aston villa
Hivi Arsenal walishindwa kumsajili hata Rodrigo paka akacheze Leeds united? hata Tielemans, sisi huwa hatupo serious kwa kweli.
Leicester city wanamchukua Boubakary Soumare tuliwahi kuhusishwa naye huyu, hata yule Soyuncu tuliwaonesha ila wakamchukua wao na hatuna beki kama yule paka sasa, ngoja tuone this window sisi wazee wa potential player
Endelea kupambana ipo siku mtalinyanyua na nyie. View attachment 1806216