Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

NAWAKUMBUSHA: Mara ya mwisho Arsenal kupata ushindi darajani ni msimu wa 11/12 na huo ndio msimu chelsea alichukua FA na UCL.
NAWAKUMBUSHA: Mara ya mwisho Arsenal kupata ushindi darajani ni msimu wa 11/12 na huo ndio msimu chelsea alichukua FA na UCL.
Kaka matokeo ya leo bila shaka unayo.

So kwa hiyo kwa mtizamo wako,bila shaka UCL tayari mshalikosa lina chukuliwa na City au............una kingine cha kutukumbusha........

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
NAWAKUMBUSHA: Mara ya mwisho Arsenal kupata ushindi darajani ni msimu wa 11/12 na huo ndio msimu chelsea alichukua FA na UCL.
Kinabo ukawa unajipa moyo baada ya kipigo. Takataka ya manispaa wewe.

IMG_20210515_212444.jpg
 
Kaka matokeo ya leo bila shaka unayo.

So kwa hiyo kwa mtizamo wako,bila shaka UCL tayari mshalikosa lina chukuliwa na City au............una kingine cha kutukumbusha........

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tumepigwa 😭😭😭 ila jana baada ya kusikiliza speech ya TT niliwaambia mashabiki wenzangu wa chelsea kuwa sina imani na fainal ya leo.
 
Hivi Arsenal walishindwa kumsajili hata Rodrigo paka akacheze Leeds united? hata Tielemans, sisi huwa hatupo serious kwa kweli.

Leicester city wanamchukua Boubakary Soumare tuliwahi kuhusishwa naye huyu, hata yule Soyuncu tuliwaonesha ila wakamchukua wao na hatuna beki kama yule paka sasa, ngoja tuone this window sisi wazee wa potential player
 
Waingereza, wanampigia debe Ramsey arudi, binafsi nadhani hapana
 
from his admission, it is obvious that he was on managerial training at Arsenal, exercising trial and error, that being the case, does he deserve to be at the club as headcoach/manager? jibu ni hapana kwa sababu hajakiri kama ameiva.
What he believed is everyone in this forum believed.

Y'all shared the belief that you can win without AM. Believing Dani can fulfill such a task.
 
Hivi huyu Arteta anaweza kunipa sababu kubwa 1 ya kwanini amemuanzisha Chambers badala ya Cedric?

Hili jamaa ni bure kabisa.

Arsenal hii hata akiachiwa Haji Manara anaipanga. Atuachie timu yetu kama hawezi kupanga hata kikosi.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom