Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Oya wazee, tafadhali sana naomba ikifika saa 3:30 usiku muwe kitandani mnakoroma mana tetemeko kutoka Porto la wanaume wa London litafika mpaka hapo kwa arteta madoido
 
Asante Majirani kwa kutuacha uchi wa Mnyama[emoji19][emoji19] hatuna la kuongea kwa sasa zaidi ya kutafuta nguo ipo wapi ili tuzibe uchi tumekuwa timu ndogo na ya kutia aibu London!Mmefukuza Lampard January May mmebeba Champions [emoji471]league nothing else to say
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunawakeraaa
FB_IMG_16223232064740135.jpg
 
Haya, nafasi ya 8, defensive poa, midfield not so sure, attack kumepooza, arteta poa ila too tactical and overcoaching, bado hajapata style yake...all and all we deserved what we got.
But still optimistic with the our future...
Gunners for life...
 
Karibu champane darajani jirani wala usiwe na nyongo mpaka tunaiwakilisha london
 
Wachezaji wengi wa Arsenal wakitoka kwenye timu yetu wanaenda kupata mafanikio (Van persie Fabregas Ramsey Sagna Clichy Chamberlain Vermaelen Willock(huyu kawa EPL best player mwezi May) na even Giroud kabeba champions league ?kumanina Arsenal
🤣🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom