Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Be sportman Mazee watch your language....!
Duh! Kweli kufungwa kumekunyoosha chacha. Ngebe zote kwishnei. Welcome to the real world.
Hawa walikuwa wanatafuta replay tu hakuna lingine hapa ni hela tu ila wanajichosha wenyewew tu
Its good for them uwanja wao unachukua 10,000 wakati wakija Emirates watapata mpunga mzuri tu good for them. Arsene Wenger kafanya vizuri ule uwanja wao haukuwa mzuri bora haku-risk wachezaji wazuri maana Stoke wanakuja then Wembley fainali ya Carling cup ... .... ..... very good move tutakutana nao tukitoka Wembley hapo ndipo watakapojua zipi ni mbivu.