Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nenda kapange ww kama ni rahisi hivyo
Hivi huyu Arteta anaweza kunipa sababu kubwa 1 ya kwanini amemuanzisha Chambers badala ya Cedric?

Hili jamaa ni bure kabisa.

Arsenal hii hata akiachiwa Haji Manara anaipanga. Atuachie timu yetu kama hawezi kupanga hata kikosi.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Willock anafunga game ya sita mfululizo na mechi ikiisha anakua kaipa ushindi New Castle hata hivyo sina imani naye in fact kama anaweza kubaki pale abaki ili apate game time bila majukumu yatakayomkosesha amani.
 
West Ham akishinda leo yale matumaini ya Ulaya inakua ndiyo yamekwenda na maji.
 
Matumaini yetu makubwa yalikuwa ni kuchukua Europa..bahati haikuwa upande wetu..binafsi ninafurahi msimu ujao timu yetu itakuwa focus na mashindano ya ndani pekee..#cyog
 
#ALWAYS WE ARE THE GUNNERS

FB_IMG_1618224225230.jpg
 
Back
Top Bottom