Be sportman Mazee watch your language....!
Hawa walikuwa wanatafuta replay tu hakuna lingine hapa ni hela tu ila wanajichosha wenyewew tu
Mashabiki wengi wa Chelsea mmefurahi sana kutolewa mapema ili m concetrate kwenye PL kwani hata hiyo nafasi ya Nane mngeikosa kama Mechi zenyewe ndo za replay na wazee wenu wanachoka mapema.Anelka kacheza dk. 19 lakini alichoka na akashindwa hata kupiga penalt Khe khe khe kheHongereni sana, naona mmejiongezea kipato kwa mechi nyingine ya ziada.
Karibu kaka inaelekea wewe ni mgeni humu ndani khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi ile timu mliyocheza nayo jana inaitwajetena,ha ha? nilijua mngeifunga,lol..kweli mpira hautabiriki, siyo mbaya mmetoka droo!!
Hahahaha hapana nawapongeza mmecheza mpira mzuri arsenal sina budi kusema hilo,na pili Barca ndio chama langu lakini tumekubali matokeo tunawasubiri nou camp ila siwezi kutabiri lolote laweza kutokea lakini nawapeni pongezi sana,maana imenikumbusha nyimbo ya utotoni ya mende kaangusha kabati lolGutierez naona unachunguliaaa kwa mbali mkuu, usiogope toe maoni yako au kama huna toa pongezi ndio mpira huo.
Van Persie and Koscielny out of Stoke game
By Richard Clarke
Robin van Persie and Laurent Koscielny will miss the crucial Premier League game with Stoke on Wednesday night.
The Dutch striker has a hamstring problem while the French defender is suffering from a back complaint. However both injuries are short-term and the pair may recover in time for the Carling Cup Final on Sunday.
I hope watarudi mapema kabla nuksi azijaanza.
Poleni sana, van Pussy yuko kwenye form nzuri atakuwa pengo kesho.
Heshima kwako Arsene Wenger!!! naona tuko wawili tu hapa leo??:A S 13:
Questt yupo nae. Leo jukwaa nakuachia wewe na quest, jumatano kama kawaida ratiba inaingiliana lol. Kuna kadarasa kameingilia ratiba ya mechi za jumatano sina jinsi lol.