Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Anajaribu mkuu.Relief Mirzska leo Saka kawekwa LB.
Arteta kama siyo anafanya makusudi basi hajui anachofanyaView attachment 1779028
Relief Mirzska leo Saka kawekwa LB.
Arteta kama siyo anafanya makusudi basi hajui anachofanyaView attachment 1779028
Naenda Kunya kesho baada ya niliyoaandika kutimiaNiliongea last week kuwa Arsenal mpaka sasa natambua haina kocha ila ina baadhi ya wachezaji wazuri na hao wachezaji wakiwa kwemye good Mood ni balaa na wakiwa off Mood hutaamini unachokiona kwenye TV yako but nani wa kulaumiwa?ni Arteta yeye ndiye kakabidhiwa timu ila naona Arsenal inacheza kutokana na experience binafsi za wachezaji hana vision sasa ana tofauti gani na mimi shabiki mfano nkipewa timu?anyway naapa mimi Arsenal akibeba EUROPA league NTAKUNYA kutoka posta hadi Mwenge kwa kikosi hiki trust me!Nawatakia weekend njema wana Gunners wenzangu!kwa ushindi wa Sare wa leo!Natunza Comment yangu!
Mwenzako Abramovic aliahidi kuinunua Old Trafford km Chelshit itabeba UEFA ss naona anatetema huko alipoNaenda Kunya kesho baada ya niliyoaandika kutimia
Anatetemeka kivip? Ebu fafanuaMwenzako Abramovic aliahidi kuinunua Old Trafford km Chelshit itabeba UEFA ss naona anatetema huko alipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuuHamna kitu pale, pundits wakimsema ndio anamchezesha Martinelli.. Kuchezea Arsenal ndio kitu pekee kinachompa defense kidogo watu hawajaanza kumu attack directly juu ya mwenendo mbovu wa timu. Tangu amekuja hakuna chemistry yoyote kwenye timu aliyotengeneza, tumekuwa dynamic sana. Wamiliki wanashida zao lakini sioni sababu za Arteta kuepukana na lawama za mwenendo mbovu wa timu hasa kwa wachezaji aliokuwa nao.
Uko sahihi na naunga mkonoHamna kitu pale, pundits wakimsema ndio anamchezesha Martinelli.. Kuchezea Arsenal ndio kitu pekee kinachompa defense kidogo watu hawajaanza kumu attack directly juu ya mwenendo mbovu wa timu. Tangu amekuja hakuna chemistry yoyote kwenye timu aliyotengeneza, tumekuwa dynamic sana. Wamiliki wanashida zao lakini sioni sababu za Arteta kuepukana na lawama za mwenendo mbovu wa timu hasa kwa wachezaji aliokuwa nao.
Sasa bro unakunyaje na kombe Arsenal haijachukua au ni ili mradi unye?Naenda Kunya kesho baada ya niliyoaandika kutimia
Yaani game na Villar inaisha kisha nasema Saka angekaa LB atoe chansi kwa extra forward kuwepo kule mbele i.e Martinell.
Leo amefanya nilichoandika.
Wait, nikitaka kusomea ukocha nafanyaje?
Kuna kipindi tulifululiza kushinda games zaidi ya 1 nikasema ushindi wetu kwa ninavyoona lady luck was by our side.
May be ni member humu Jf.
Ila kiukweli pamoja na changamoto zingine zinazoikabili Arsenal, Arteta kazingua sana. Mwanzoni nilimpa support kwa kigezo cha little experience, lakini ameji expose kuwa ni myopic kwenye issues related to football.
Vitu ambavyo mere fans wanaviona, ye anaonekana tu si kutoviona bali haoneshi hata kuwa na idea navyo in the near future. Game ya Villareal is just a recent example to remember...
Hii ina maana kwamba hata zile solid perfomances chache zilizompa credit, zilikuwa sio tactically engineered bali ni out of lucky.
Kuna kipindi tulifululiza kushinda games zaidi ya 1 nikasema ushindi wetu kwa ninavyoona lady luck was by our side.
Watu wakanishambulia
Liver hauwahi kushika nafasi ya kumiHahaha wakati ule liva inagarauka matopeni hatukujua wanavyofeel. Now we know
Acha ubishiLiver hauwahi kushika nafasi ya kumi
Duh! Afadhali mmezinduka wandugu.