Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Lineups out
I agree with you!Kwa mchezaji mmoja mmoja Arsenal haistahili kuwa nje ya top 10 je tatizo ni nini ?tatizo ni Kocha hana vision na kaishiwa mbinu mfano wa timu kama West ham Leicester Everton zinagombania top 4 sisi tumekwama wapi?naona board sababu ya ubahili inataka kuendelea na Arteta but I am telling you EPL ya sasa sio ya mwaka 80
Yaani nlishaamua siangalii game, lakini kwa vile Martinelli ameanza wacha nikamuangalie yeyeLineups out
Usiwe na matumaini inakuwaje Manchester United ana wachezaji ambao hawana utofauti na wa kwetu but tumeachana point 20?Yaani nlishaamua siangalii game, lakini kwa vile Martinelli ameanza wacha nikamuangalie yeye




Mna clean sheet kama Arsenal?ANGALIENI WENZENU WENYE AKILI KUBWAView attachment 1749469
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mbona unaficha amounts?Asernal sikuwaamini, niliuza huu mkeka gemu yenu ilipokuwa half time.
Nili bet spur man u ikiwa half time..View attachment 1750298
Utakuta ni 5000 mkuuMbona unaficha amounts?
Martinell aanze. Pepe aanze.wanangu wa Arsenal..here we go..next, second leg Slavia vs us..Europa tunaihitaji mno....#coyg