Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sasa wewe una maajabu gani? Usajili mil 400 huku goal scorer joginho na goli zake 5 ahaaah!
Jana umevunjwa 5, sisi tulikupiga 3, hizo nguvu unatoa wapi?
Sisi tunawaza UEFA tu kwa sasa. Hiyo jana tulitaka kujua kama tukifungwa itakuwaje
 
20210404_231330.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Arsenal inaanza mechi huku haionyeshi kama imekuja kushinda, siyo kwa Liva na City tu ni kwa kila anayekutana naye. Tumeona kwa Rapid Wien, Westham na mwisho kabisa ni kwa Liva.

Kwa Arsenal ya sasa kuscore ni ubovu wa mpinzani, Arsenal haiwezi kumfanya mpinzani wake alazimike kufanya makosa, alazimike kua mbovu.

Msimu unaanza Leeds anafungwa 4 - 3 na Liva muda wote Leeds alikua kaonyesha kafuata ushindi. First leg ya sisi na Liva nikasema tunahitaji ile spirit tu ya kuweza kuchukua ugomvi na kuupeleka mlangoni kwao hii second leg ikaonyesha tu kwamba kocha anafeli katika kuilisha timu winning mentality.

Now a good thing kwa msimu huu ni kwamba Arsenal hajafungwa na timu yoyote ambayo inamalizikiwa na 'United' na Slavia ile Prague maana yake ni 'United' so natarajia kuvuka hii robo.

Slavia wamelaaniwa na hiyo Prague huku lawama za ubaguzi wa rangi kwa Glen Kamara zikiwasindikiza.

Pamoja na yote haitoshi kutuhakikishia kushinda. Winning mentality na kuanza mechi zetu with front feet is key for now.
 
Tutawakosa Tierney, Luiz na Odegaard katika mechi ya leo. Tierney most likely hatacheza tena msimu huu. Kwenye kamari, leo
 
Lineups out

1
Leno
2
Bellerín
16
Holding
6
Gabriel
17
Cédric Soares
18
Partey
34
Xhaka
7
Saka
12
Willian
32
Smith Rowe
9
Lacazette
 
Arsenal inaanza mechi huku haionyeshi kama imekuja kushinda, siyo kwa Liva na City tu ni kwa kila anayekutana naye. Tumeona kwa Rapid Wien, Westham na mwisho kabisa ni kwa Liva.

Kwa Arsenal ya sasa kuscore ni ubovu wa mpinzani, Arsenal haiwezi kumfanya mpinzani wake alazimike kufanya makosa, alazimike kua mbovu.

Msimu unaanza Leeds anafungwa 4 - 3 na Liva muda wote Leeds alikua kaonyesha kafuata ushindi. First leg ya sisi na Liva nikasema tunahitaji ile spirit tu ya kuweza kuchukua ugomvi na kuupeleka mlangoni kwao hii second leg ikaonyesha tu kwamba kocha anafeli katika kuilisha timu winning mentality.

Now a good thing kwa msimu huu ni kwamba Arsenal hajafungwa na timu yoyote ambayo inamalizikiwa na 'United' na Slavia ile Prague maana yake ni 'United' so natarajia kuvuka hii robo.

Slavia wamelaaniwa na hiyo Prague huku lawama za ubaguzi wa rangi kwa Glen Kamara zikiwasindikiza.

Pamoja na yote haitoshi kutuhakikishia kushinda. Winning mentality na kuanza mechi zetu with front feet is key for now.
Mfano tukichukua Europa league kisha tukiingia champions league kwa timu yetu si utakuwa ni aibu ya 2022?ni heri tutolewe tuepukane na aibu na presha

Liverpool Manchester City hao wametupiga home and away this season na ndio wapo kwenye hyo michuano ya champions league na bado kuna Bayern PSG Real Madrid tuacheni utani na mpira Arsenal sitamani abebe hilo kombe la europa
 
Slavia ana rekodi nzuri kumzidi Arsenal.

Arsenal tunabebwa na kisasi, Slavia anabebwa na rekodi.

Kikosi tumekiona. Kawaanzisha majeruhi wawili Emile na Saka, Cedric good deal kwa leo.

Moto na uwake.
 
Back
Top Bottom