Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu hatuna kocha na timu hatuna ni kikundi cha wahuni tu. Hivi kweli Arteta kila leo anasema improvements ndio hizo kweli? Ceballos, auba, lacazette, pepe, hawa ni Wachezaji kweli hawa? Aaaaagh Arteta ni kirusi
Cha corona au ukimwi?
 
Huku Tz siku hizi 1GB inafika mpaka 3000.

Sitarajii makutano kua mengi humu haswa kwa mimi ambaye hiyo 3000 equals to my lunch and dinner.

Uwanja ni wenu.
But bro, juzi nlikuona umekwenda for interview somewhere. Mambo yamekwenda poa???
 
Adjustments.jpg
 
Jana, baada ya mechi niliichukia sana timu, nikaona hata nisikomenti hisia zangu humu. Lakini baada ya kumuona Arteta anaongea (post match interview) roho ya huruma ilinijia. Mpaka aliyekuwa anamuhoji alimpa pole. Nadhani aliwabwatukia vikali zile takataka zake.
Honestly, Jana sikumuona mchezaji aliyekuwa na nafuu, wote walikuwa rubbish worthy a place in a dustbin.
Mmoja wa wachambuzi wa Jana Skysport, Michael Owen alienda mbali. Anasema arsenal aliyokua anaiona, aliyocheza nayo sio hii. Haya ni matakataka. Arsenal ya sasa hivi ni below average team
 
Huku Tz siku hizi 1GB inafika mpaka 3000.

Sitarajii makutano kua mengi humu haswa kwa mimi ambaye hiyo 3000 equals to my lunch and dinner.

Uwanja ni wenu.
Hiyo ilikuwa move ya shetani fulani ili watu washindwe ku-access mtandao, lakini aliye juu, The Almighty God akasema hilo haliwezekani.
Kumbuka serikali haijaongeza kodi kwenye huduma za simu, providers wa internet hawajapandisha bei. Kwa hiyo ulikuwa upumbavu tu wa watawala
 
Emi Martinez aliyeuzwa Villa angekuwa golikipa bora sn kama angebaki Arsenal as No 1.
Waswahili wanasema "Usitukane mbachao kwa msala upitao"
 
Kale ka Dully Jr kalikuja kutupigia kelele kule jukwaa la wanaume kumbe katimu kake kabovu
 
Kale ka Dully Jr kalikuja kutupigia kelele kule jukwaa la wanaume kumbe katimu kake kabovu
sasa wewe una maajabu gani? Usajili mil 400 huku goal scorer joginho na goli zake 5 ahaaah!
Jana umevunjwa 5, sisi tulikupiga 3, hizo nguvu unatoa wapi?
 
Back
Top Bottom