















































mzee leta maneno kidogo kwa uwezo wa kocha wetu huyuHiki kipande tu ndio nimekupa like kwacho na wala sio ule utopolo mwengine kwenye post yako
Dah mimi kuanzia leo nimeona nitie shaka juu ya uwezo wake, sijui ni uwoga wa mechi?Cedric kaingia na kaonyesha uhai hata hana dakika 3. Arteta anainyima timu ushindi, Chambers hakua na sababu ya kuanza.
dah mzee imebidi nicheke tu yani kwa hii commentTimu haina kocha wala wachezaji hii kumamamake no vision kabisa kazi kudanganyana tu kwenye mauchambuzi humu ila timu ipo kama toilet paper ya chooni
Castr Will jr ni kweli kabisa Xhaka ndio tatizo katikati, wachezaji wengine wanaperfom vizuri tu. Asipokuwepo Xhaka wachezaji hawacheleweshi mpira, hawatulizi mara tatu na kutoa wakiwa wamekabwa tayari.
Naungana na nyie kwa asilimia zote ni wakati wa release/kumtema Xhaka sioni hata timu ya kununua. Hii defeat ni uwezo wake mdogo bora angeanza Partey ambaye hacheleweshi mpira na Elneny.





Ni mchezaji ambaye hata benchi hayupo. Kwa Arsenal yetu sioni akikosa namba iwe jua iwe mvua.Castr Will jr ni kweli kabisa Xhaka ndio tatizo katikati, wachezaji wengine wanaperfom vizuri tu. Asipokuwepo Xhaka wachezaji hawacheleweshi mpira, hawatulizi mara tatu na kutoa wakiwa wamekabwa tayari.
Naungana na nyie kwa asilimia zote ni wakati wa release/kumtema Xhaka sioni hata timu ya kununua. Hii defeat ni uwezo wake mdogo bora angeanza Partey ambaye hacheleweshi mpira na Elneny.
Eti DullyJr si umeona alivyokuwa unarudisha mipira nyuma, anachelewesha pasi, mzito na alikuwa 'amekatika' katika kiungo, anatoa mpira akiwa amekabwa au anampatia aliyekabwa tayari si umeona? Hafai ni wakati wa kumcheza Partey na Elneny au Ceballos tukisubiri kusajili Bissouma.
Tusubiri dakika 90 mkuu
Kwa mpira tuliocheza leo ni kama mtanzania kuwa ndoto ya kudate na Rihanna kama kuna mtu bado anaamini Arteta ni mtu sahihi kwa Arsenal basi atakuwa ana upungufu wa akili I am sorry to say thisdah mzee imebidi nicheke tu yani kwa hii comment
Kaka nataka nikae kwa kutulia. Castr Atatuongozea jukwaa kwa sasa na atatupa chambuzi zote tunazozihitaji.mzee leta maneno kidogo kwa uwezo wa kocha wetu huyu
Ndio kusema lawama zote kwa kufungwa Jana ziende kwa Wenger?Castr Will jr ni kweli kabisa Xhaka ndio tatizo katikati, wachezaji wengine wanaperfom vizuri tu. Asipokuwepo Xhaka wachezaji hawacheleweshi mpira, hawatulizi mara tatu na kutoa wakiwa wamekabwa tayari.
Naungana na nyie kwa asilimia zote ni wakati wa release/kumtema Xhaka sioni hata timu ya kununua. Hii defeat ni uwezo wake mdogo bora angeanza Partey ambaye hacheleweshi mpira na Elneny.
HahahahahahaahahahEti DullyJr si umeona alivyokuwa unarudisha mipira nyuma, anachelewesha pasi, mzito na alikuwa 'amekatika' katika kiungo, anatoa mpira akiwa amekabwa au anampatia aliyekabwa tayari si umeona? Hafai ni wakati wa kumcheza Partey na Elneny au Ceballos tukisubiri kusajili Bissouma.