Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Huyu alisifiwa sana humu jukwaani. Yaani alisifiwa utadhani ni Luka Modric. Aiseeee duh!Na huyo Ceballos anafaa kucheza real betis na levante
Huyu alisifiwa sana humu jukwaani. Yaani alisifiwa utadhani ni Luka Modric. Aiseeee duh!Na huyo Ceballos anafaa kucheza real betis na levante

Inahitajika timu nzima basi hahahaahhaAnahitajika LW, RW, ST, LB, RB, CM & AM
Wewe tutakutana Europa
KWA HIYO MNAENDA CHAMPIONS LEAGUE!!!! HIZI AKILI HIZI UTOPOLO MTUPU.Tunataka kombe la europa seriously?? je huko champions league tunaenda kushindania nini kwa timu hii yenye laana?usiku mwema wadau