Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta kwenye pre-season angejaribu combination ya Guendouz/Torreira, Partey na Creative mid mmoja iwe Odegaad au Aouor(kama watasajiliwa) anaweza kupata something different.
So Xhaka na Elneny wakalale mbele?
 
So Xhaka na Elneny wakalale mbele?
Xhaka is not good enough kwa level tunayotaka ku-Compete, ndio maana wanamtaka Bissouma acheze nyuma ya Partey, kwangu naona Guendouz apewe second chance, timu imeanza kubalance afu Matteo ni talented ujue ana kitu mguuni
 
Unamkataa Xhaka kwa ajili ya Bissouma?

Guendouz naamini siyo mbaya. Ila hana spid, stamina wala skills kama ana viwili kati ya hivyo basi anafaa sana tu.
 
Guendouz ni promising, umri bado unaruhusu hajafika peak, Xhaka ni average ni wale wachezaji anaperform game moja game ijayo anazingua, ni km Ramsey kipindi hajafika 27.
 
Xhaka is not good enough kwa level tunayotaka ku-Compete, ndio maana wanamtaka Bissouma acheze nyuma ya Partey, kwangu naona Guendouz apewe second chance, timu imeanza kubalance afu Matteo ni talented ujue ana kitu mguuni
Pamoja na mapungufu yake, lakini xhaka ni muhimu sana katika kikosi!.. Huyo haendi kokote!.. Hao uliowataja waletwe tujenge timu ila xhaka abaki! Huyu amekuwa anatusaidia sana zile nyakati za taabu.
 
Yeye abaki, lakini kama Bissouma anakuja huyu hawezi kuanza First team, Emery aliwahi kusema alimtaka Fabinho akamchelewa, sasa imagine kungekuwa na Fabinho pamoja na Thomas hapo kati, Xhaka angeanzia wapi ?

wachezaji wengine ni vile tu hatuna wachezaji wazuri ndio maana wanaanza first team.
 
Huyu xhaka ni kweli hana kiwango kikubwa sana ila tusubiri mpaka tupate mtu wa maana wa kucheza nafasi yake.. Yaani eti mpaka leo ameshindikana kupatikana mtu wa kumuweka benchi xhaka. Tukipata wachezaji wazuri ataomba yeye mwenyewe kuondoka kwa sababu ya kukosa namba.. Kiulweli mimi sioni kama Bissouma anaweza ana uwezo wa kumkarisha benchi xhaka..
 
Aliyoyaongea Mikel Arteta kwenye mkutano na waandishi wa habari hii leo kuelekea mchezo wa wikiendi hii dhidi ya Liverpool:

  • Saka anajisikia vizuri lakini bado anafanya mazoezi peke yake.
  • Smith Rowe atafanyiwa tathmini baadae kama yuko fiti kwa mchezo ujao.
  • Amemsifu Lacazette na amesema kwamba mazungumzo ya mkataba mpya yatafanyika mwisho wa msimu huu.
  • Akatania kwa kusema "tutaona itakavyo kuwa" alipoiziwa kuhusu kumsajili Aguero Arsenal
 
Unlike what was reported yesterday, Saka was spotted in training today with teammates, which means he is available for selection tomorrow
 
Back
Top Bottom