Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee mimi labda sijui football lakini nimeshindwa kuelewa kwanini tunakaa nyuma kuzuia timu kama Westham, olimpiacos, na Spurs ambazo hazina tendency nzuri ya umiliki wa mpira mithili ya Man city.
Mfano Game ya leo dk 15 za kuwaruhusu West ham wacheze kuliko sisi zilibadilisha kila kitu,Tumepoteza points nyingi sababu ya uzembe wala sio uwezo.
Naona wachezaji wanakosa kujiamini na hawako mchezoni kabisaa. Ni wachache sana wanaojiamini....napenda sana spirit ya Tierney huyu ni mpambanaji haswa na siku moja natamani awe team captain.
Ila Auba akikabwa anapotea kabisa uwanjani tofauti kabisa na Lacca huyu yeye atapigana na hakubali kizembe.
Martin Odegard ni pure talent isingekuwa huyu, tungefungwa natamani aendelee kuwepo inaonekana ana mengi mno bado hatujayaona.
Nilifurahi walivyomtoa Xhaka maana alikua anachelewesha mipira.
 
Ila Pepe ni tatizo wazee, yaani hata kushuti tu hawezi,ni mara mia Wilfred Zaha angesajiliwa, Raul alipiga hela ndefu kwa huyu mtu
Pepe huwa ana mechi zake na anasumbuaga kweli kweli, naona jana hajakosea sanaaa
 
Ila Pepe ni tatizo wazee, yaani hata kushuti tu hawezi,ni mara mia Wilfred Zaha angesajiliwa, Raul alipiga hela ndefu kwa huyu mtu
Alitakiwa aanze from minute one. Kwa dakika zile kapata shots 2, angeanza tangu mwanzo kati ya alizokosea kuna moja angepata.
 
Ila mi naona hizi jezi ni miyeyusho tena sana. Kwani zile zingine nyeupe na bruised banana tumeziditch?
 
Unakuja kwenye majukwaa yenu kuja kutusumbua wakati team yako ni utopolo mtupu
Sisi ni utopolo?

Wewe umewahi kuongozwa goli tatu ukachomoa? Shoga yako united kaongozwa kimoja akaleta shobo za kutaka kupangua akaongezwa marungu mawili katulia. Bado wewe
 
Sisi ni utopolo?

Wewe umewahi kuongozwa goli tatu ukachomoa? Shoga yako united kaongozwa kimoja akaleta shobo za kutaka kupangua akaongezwa marungu mawili katulia. Bado wewe
West brom alinipiga goal 3 bila mpaka dk 54 nikaanza kupata goal la kufutia machozi dk ya 55 goal la pili nikapata dk ya 73 goal la mwisho dk ya 92 full time ikawa 3-3
 
West brom alinipiga goal 3 bila mpaka dk 54 nikaanza kupata goal la kufutia machozi dk ya 55 goal la pili nikapata dk ya 73 goal la mwisho dk ya 92 full time ikawa 3-3
Kumbe na wewe ni utopolo hizi ni zile enzi za mkifungwa tatu mkishinda tatu na mkisuluhu tatu.
 
Adjustments.jpg
 
Bro kinachotumaliza arsenal ni uwezo mdogo wa wchezaji wetu full stop.
Pia usisahau Arteta uwezo wake ni ndogo hafai na hastahili kufundisha hata Arsenal ya chini ya miaka 23.

Chezesheni mleteni Patrick Viera.
 
Kama nyinyi mlivyomleta Ole Sendeka
Sasa Arteta ana historia gani ndani ya Arsenal mbele ya Viera?

Arteta mpira aliucheza Everton, Arsenal alikuja kuchukua mafao yake ya uzeeni na kustafu soccer.

Hana falsafa yeyote ya Arsenal na hana sifa ya kuitwa legend wa Arsenal.

Ukija kwenye uwezo binafs, Arteta hana uwezo wowote, mala alfu saba Sorkskjaer.

Arteta alikua anajifunza chini ya Pep, kabla hajavunja ungo nyinyi mukamchukua.

Arteta ilimfaa baada ya kuvunja ungo chini ya Pep angeenda Evaton, kule mungempima kwanza kama ana chochote chamaana.
Kule mungemuona ana noga mungemleta hapo.

Hapo wazee wakushika manati ndipo mulipo bugi.

Fanyeni hima mleteni Patrick Viera atawavusha.
 
Ukiongelea historia kama muamuzi wa nani awe kocha Arsenal basi hapo inabidi aje Henry. Henry ana historia nzuri kuzidi hao wawili kwa Arsenal. Hoja yako haina mashiko.

Arteta hajavunja ungo? Ndiyo ni kweli. Arsenal ilimtaka Mourinho, akahudhuria mazoezini kisha deal haikufanikiwa, kwa management ya Arsenal inavyotaka kuspend pesa zake ni ngumu kumpata kocha mkubwa ambaye atakua na ustahimilivu wa Wenger.

So Arteta amekua option kwakua yeye anakua na timu iko safarini kufufuka kila mmoja anamhitaji mwenzake. Mawinga wa City wote walikua trained na Arteta, yeye ndiye kamuibua Foden, ndiye amembadilisha Pepe na kumpeleka LW ambapo kapafom vizuri.

Ole amewahi kukuza kiwango cha mchezaji gani?

Ole ameshashusha daraja timu ngapi?

Rais wa Barca, Laporta kasema anamtaka Arteta. Ole amewahi kutakwa na klabu gani?

Arteta amekuza viwango vya makinda na ameachana na deadwoods, Ole kakuza kiwango cha kinda gani? Deadwoods wangapi kaachana nao? Timu iliyovimbiana wachezaji wasio na msaada ni ujanja?
 
Back
Top Bottom