Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pepe amepata chansi mbili zote kaleta ujinga.

Kama Chambers kazalisha magoli 2 na hana speed wala haoverlap Cedric angefanyaje?

Auba hana desire, Saka finishing skills hakuna. Partey bado hana uwezo wa long range shooting.

Timu nzima shaghala baghala.
utopolo
 
Mkiwa mnapata matokeo kama haya au kutobolewa. Jukwaa la chelsea litakuwa Chungu kwenu.

Na hiyo ndo dawa yenu.
Tulia wewe mmalawi, vibonde vyetu chelsea na united tutaviingilia iwe jua iwe mvua
 
Cha ajabu dogo ataachwa arudi Real afu tutaletewa mchezaji wa hovyo hadi kuchukia unashindwa
Dah itauma sana ikiwa hivyo, msimu ujao tuwarudishie ceballos wao...huku tunamnunua martin...nimeona thamani yake haizidi 50m
 
Wazee mimi labda sijui football lakini nimeshindwa kuelewa kwanini tunakaa nyuma kuzuia timu kama Westham, olimpiacos, na Spurs ambazo hazina tendency nzuri ya umiliki wa mpira mithili ya Man city.
Mfano Game ya leo dk 15 za kuwaruhusu West ham wacheze kuliko sisi zilibadilisha kila kitu,Tumepoteza points nyingi sababu ya uzembe wala sio uwezo.
 
Ila Pepe ni tatizo wazee, yaani hata kushuti tu hawezi,ni mara mia Wilfred Zaha angesajiliwa, Raul alipiga hela ndefu kwa huyu mtu
 
Back
Top Bottom