Hahaha ni noma. Kwani mara ngapi tumetakiwa kushinda lakini kocha anashindwa iongoza timu? Mara mtu atajifunga, mara red yaani unaona kama vile anakusudia.Dah kiukwel kam ni shabik wa arsenal unawez ulie kabsa. Mnashinda game moja znazofuta tatu kipigo. Oya wanangu wa The Gunners huu msimu tu skip mech zilizobak mpak Next season. Na hii game ya leo tu Quit iwe 3 bilaa
Hii game tunahitaji ushindi ila timu inacheza kama inaongoza, nikaambiwa hiki ndiyo kiwango kinachotakiwa.



