Kazeni mchukue uefa acha perepeche









bado 2Leo mnatiwa goli 5
Bora umeme umekatika kudadeki
kuna la nne nalionaKuna la tatu naliona
HatariNaona unakungutwa. Ushapigwa tatu za mkakati
Uongo
Tatizo ni kocha hata sio wachezaji,hana mbinu wala ubunifu kulingana na timu tunazocheza nazo.Dah kiukwel kam ni shabik wa arsenal unawez ulie kabsa. Mnashinda game moja znazofuta tatu kipigo. Oya wanangu wa The Gunners huu msimu tu skip mech zilizobak mpak Next season. Na hii game ya leo tu Quit iwe 3 bilaa
"London is Blue"“London is white”
Zagreb 3-0 Spurs
“London is red”
Arsenal 0-1 Olympiacos
LONDON IS BLUE
Chelsea 2-0 Atletico
![]()







Hawa tulishawakaza kabisa wasije jukwaani kule maana siyo level yetu tena mkuu.Ngoja tukutane tena ndio utajua praise team niko sauti ya ngapi.. Kile kipindi cha Lampard kila mtu anajipigia utafananisha na huyu mtu anayejielewa anafanya nini?
Hivi unaamini kabisa hata tukikutana kesho una hata ubavu wa kupata on target hata moja? Nakupa challenge hebu jitahidi utoke mid table hapo ndio tuanze kuongea haya vizuri.


