Kwa mpira huu tunaocheza sidhani kama huo msimu ujao tutakuwa bora zaidi.Kwa sasa Arsenal inajipanga vizuri msimu ujao itawasha moto kwa sasa tunapigania kuingia tano borA katika ligi.
Unauliza jibu? Nafasi niliyokuwepo Jan unaweza linganisha na sasa? Dec na Jan ilikua kila mtu anajipigia tu ndio maana nakambiaje ngoja tukutane ndio utaelewa tofauti ya high profile team na mid table team. Hakuna rangi mtaacha ona ni bakora tuWewe umeshapandisha?
Lampard hakuwahi tumia 3 4 3 muda wote ambao timu ilikua inaonekana kwenda kombo, same players wameingizwa kwenye 3 4 3 wanaonekana wanacheza kama kikosi na wanaelewana.Unauliza jibu? Nafasi niliyokuwepo Jan unaweza linganisha na sasa? Dec na Jan ilikua kila mtu anajipigia tu ndio maana nakambiaje ngoja tukutane ndio utaelewa tofauti ya high profile team na mid table team. Hakuna rangi mtaacha ona ni bakora tu
Msimu ukianza timu inakua kwenye mashindano zaidi ya 4 yaani inakua iwe isiwe kila mchezaji mwenye juhudi atapata namba.Kwa mpira huu tunaocheza sidhani kama huo msimu ujao tutakuwa bora zaidi.
Arteta anawang'ang'ania wakina Auba na willian...yani mchezaji anang'ara mechi hii, mechi inayofuata anatepeta kama mlenda.
Kocha anashindwa kumpa nafasi Martinelli, huyu dogo kweli ana kiu ya kucheza ila kocha tu haoni hicho....yani kwa style hii sioni tukiingia hata top 5. Auba anakosa one-on-one yani yeye na kipa.
Hii mechi dhidi ya west ham Auba akae benchi waanze wakina Martineli, Martin, Lacca....
Arsenal vs Liverpool itachezwa April 3Baada ya hii mechi na Westham kutakua na mapumziko na next match itakua dhidi ya Liverpool 4/4/2021. Ila nahisi (sina uhakika) hii mechi inaweza ikaahirishwa.
6/4/2021 liva anakutana na madrid kwaajili ya uefa kama atacheza mechi ya 4/4/2021 maana yake atapumzika tarehe 5 kisha tarehe 6 anaruka na Madrid.
Arsenal baada ya game ya tarehe 4 ataingia uwanjani tarehe 8 kucheza na Slavia Praha, safari hii hatuanzi ugenini. Also mashabiki wa Arsenal wa ulaya wamesema game na Slavia ni ugomvi tumeununua kutoka kwa Rangers kutokana na mchezaji wa Slavia kumfanyia ubaguzi wa rangi Glen Kamara ambaye amewahi kuichezea Arsenal.
Kwa Arsenal ni ratiba fair kwa liva sipo sure.
. However Brendan Rodger's Leicester are ready to rival Arsenal’s interest in the Mali midfielder.Yves Bissouma " data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft36%2F1.5%2F16%2F1f1f2_1f1f1.png&hash=ac3b255af3d42cf2af0568d53b5861bb" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1">agent confirmed the #Arsenal interest in his player earlier this month with boss Mikel Arteta keen to pair him up at the Emirates with Thomas Partey " data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftdc%2F1.5%2F16%2F1f1ec_1f1ed.png&hash=ffdc041dc8c4b36489800a26c5487288" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1">" title="
" width="" height="" />
" title="
" width="" height="" />
Bissouma was a boyhood Arsenal fan as well, meaning a move to north London appeals.
But manager Brendan Rodgers is hoping the potential carrot of Champions League football will give him the edge as the player makes a decision on the next step in his career. [ @mirrorfootball ]
![]()
https://web.facebook.com/stories/28...VftnVvpaLgiUTGZjFBl2kvtXiQgA&[B]tn[/B]=<<,P-R