Mkuu acha uongo..ni lini mlishinda 2 mkapoteza 1. Statistics zinaonesha mnashinda 1 mnapoteza 2.Mbahatishaji Arteta ,Arsenal haitakuja kupata mafaniko chini ya Arteta Naapa,tutakuwa tunashinda mechi 2 inayofuata inafungwa bila kubadili Kocha Arsenal haitapata mafanikio
Arsenal ya sasa unakuwa haujui matokeo yatakuwaje ni ujinga ujinga tu
Hebu hizo statistics nizioneMkuu acha uongo..ni lini mlishinda 2 mkapoteza 1. Statistics zinaonesha mnashinda 1 mnapoteza 2.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Basi hii site hawajaupdate
View attachment 1730827