Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,240
- 76,773
Ile timu dhaifu inaongoza ligi huko kwao.Nyie kobe jana mume gongwa bao moja la nguruwe na timu dhaifu kabisa kutoka ugiriki, sema muna zali tuko msibani, ila habari zenu tunazo.
Safari yenu ya kuja Europa tunaijua ilianzia wapi.