Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aubameyang apigwe tena mkeka two clear chances kisha anashindwa hata kuipata on target? Anagewa pasi hawezi kubaki na mpira, hawezi kukimbilia mpira yaani alikua mjinga tofauti na yule aliyetaka kulia siku tunatolewa na Olympiacos. Lacazette alitakiwa aanze tena.

Arteta ameprove nilichokua nakisema Dani siyo AM, jana kapangwa hiyo namba lakini ukimuangalia anavyojiposition unaona kabisa huyu ni wa hapo kwa Elneny, pengine kamuweka kule mbele ili asitoe maboko yake.

Bado mawasiliano ni shida, mpo wawili mnapotezaje mpira? Hiyo ni dalili ya kutojiamini. Kocha ana shida gani?

Bellerin anazidi kujionyesha kwamba Cedric anahitajika kuliko kawaida. Arteta anamtoa Bellerin anamuingiza Chambers, dalili za kuamua kukaba. Emile anajaribu kupiga shuti anazuiwa baada ya pale hajajaribu tena akaamua kuzuia shuti la Pepe.

Tumepita kweli lakini timu imecheza ujinga, kutanua uwanja jana ilikua mtihani, intensity hakuna, fighting spirit hakuna kabisa. Martnell kaingia ndani ya dakika tatu kasababisha mtu ale red, jamaa aliyekula red nimependa attitude yake, alilia, kasimama koridoni anaangalia mechi anaambiwa na officials aende dressing room anaonekana kujibu naassume alikua anabembeleza aendelee kuangalia mechi aliyoiharibu.

That's fighting spirit. Wachezaji wangapi wa Arsenal wamegewa red na wakaonyesha majonzi? Kuna mmoja tu baada ya kupewa red akaomba msamaha mashabiki, ni Sokratis, na yeye yupo Olympiacos.

Anyway, naamini hii ni mind game for our next opponent.
 
Timu zilizofuzu kwenda robo fainali Europa

-Arsenal

-Dinamo Zagreb

-Granada

-Roma

-Manchester United

-Slavia Praha

-Villareal

-Ajax
 
Kwa list iliyosonga mbele robo fainali Europa watu wengi wanaamini kombe ni la Arsenal au united siyo kwavile ni wazuri tactically ila ni kwavile ni timu zinazotokea epl.

Nahisi Arsenal itapangwa na united au na Emery.
 
Aubameyang apigwe tena mkeka two clear chances kisha anashindwa hata kuipata on target? Anagewa pasi hawezi kubaki na mpira, hawezi kukimbilia mpira yaani alikua mjinga tofauti na yule aliyetaka kulia siku tunatolewa na Olympiacos. Lacazette alitakiwa aanze tena.

Arteta ameprove nilichokua nakisema Dani siyo AM, jana kapangwa hiyo namba lakini ukimuangalia anavyojiposition unaona kabisa huyu ni wa hapo kwa Elneny, pengine kamuweka kule mbele ili asitoe maboko yake.

Bado mawasiliano ni shida, mpo wawili mnapotezaje mpira? Hiyo ni dalili ya kutojiamini. Kocha ana shida gani?

Bellerin anazidi kujionyesha kwamba Cedric anahitajika kuliko kawaida. Arteta anamtoa Bellerin anamuingiza Chambers, dalili za kuamua kukaba. Emile anajaribu kupiga shuti anazuiwa baada ya pale hajajaribu tena akaamua kuzuia shuti la Pepe.

Tumepita kweli lakini timu imecheza ujinga, kutanua uwanja jana ilikua mtihani, intensity hakuna, fighting spirit hakuna kabisa. Martnell kaingia ndani ya dakika tatu kasababisha mtu ale red, jamaa aliyekula red nimependa attitude yake, alilia, kasimama koridoni anaangalia mechi anaambiwa na officials aende dressing room anaonekana kujibu naassume alikua anabembeleza aendelee kuangalia mechi aliyoiharibu.

That's fighting spirit. Wachezaji wangapi wa Arsenal wamegewa red na wakaonyesha majonzi? Kuna mmoja tu baada ya kupewa red akaomba msamaha mashabiki, ni Sokratis, na yeye yupo Olympiacos.

Anyway, naamini hii ni mind game for our next opponent.
Binafsi napenda sana Auba akipangwa pembeni pale katikati finishing yake ni mbovu mno....ni muda sasa Arteta kumwamini Martinelli
 
Ujinga ulikua kwa wote jana.

Siyo yeye, Odegaard wala Pepe.

Tuiangalie hii jumapili itakavyokua.
 
Aubameyang apigwe tena mkeka two clear chances kisha anashindwa hata kuipata on target? Anagewa pasi hawezi kubaki na mpira, hawezi kukimbilia mpira yaani alikua mjinga tofauti na yule aliyetaka kulia siku tunatolewa na Olympiacos. Lacazette alitakiwa aanze tena.

Arteta ameprove nilichokua nakisema Dani siyo AM, jana kapangwa hiyo namba lakini ukimuangalia anavyojiposition unaona kabisa huyu ni wa hapo kwa Elneny, pengine kamuweka kule mbele ili asitoe maboko yake.

Bado mawasiliano ni shida, mpo wawili mnapotezaje mpira? Hiyo ni dalili ya kutojiamini. Kocha ana shida gani?

Bellerin anazidi kujionyesha kwamba Cedric anahitajika kuliko kawaida. Arteta anamtoa Bellerin anamuingiza Chambers, dalili za kuamua kukaba. Emile anajaribu kupiga shuti anazuiwa baada ya pale hajajaribu tena akaamua kuzuia shuti la Pepe.

Tumepita kweli lakini timu imecheza ujinga, kutanua uwanja jana ilikua mtihani, intensity hakuna, fighting spirit hakuna kabisa. Martnell kaingia ndani ya dakika tatu kasababisha mtu ale red, jamaa aliyekula red nimependa attitude yake, alilia, kasimama koridoni anaangalia mechi anaambiwa na officials aende dressing room anaonekana kujibu naassume alikua anabembeleza aendelee kuangalia mechi aliyoiharibu.

That's fighting spirit. Wachezaji wangapi wa Arsenal wamegewa red na wakaonyesha majonzi? Kuna mmoja tu baada ya kupewa red akaomba msamaha mashabiki, ni Sokratis, na yeye yupo Olympiacos.

Anyway, naamini hii ni mind game for our next opponent.
Exactly wrote what I saw and what was in my mind. kuna kitu kinakosekana kwenye timu, kwanini timu inakosa umakini na inapanic? We missed a number of clear chances, hata wao pia; na wangeweza kupata bao la pili timu ingepanic zaidi.
Ngoja hili niliandike kwa kizungu labda arteta anaweza kupitia uzi huu likamsaidia. "there is a need for the team to hire a consultant capable of instilling into our players some sense of confidence"
 
Nyie kobe jana mume gongwa bao moja la nguruwe na timu dhaifu kabisa kutoka ugiriki, sema muna zali tuko msibani, ila habari zenu tunazo.
 
Exactly wrote what I saw and what was in my mind. kuna kitu kinakosekana kwenye timu, kwanini timu inakosa umakini na inapanic? We missed a number of clear chances, hata wao pia; na wangeweza kupata bao la pili timu ingepanic zaidi.
Ngoja hili niliandike kwa kizungu labda arteta anaweza kupitia uzi huu likamsaidia. "there is a need for the team to hire a consultant capable of instilling into our players some sense of confidence"
Watani wetu wa jadi Mbeya City Spurs I hali mbaya.
 
Back
Top Bottom