Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta akiwa anafanya intavyu baada ya mechi kuisha zilikua zikisikika kelele za gari likivutwa mafuta kuondoka. Gari ni la Auba, hata wachezaji wa sub walikua bado hawajamaliza kuondoka uwanjani.

Mtangazaji mmoja amesema ".... last in first out.." Auba, kapteni wa timu, aliondoka uwanjani dakika 20 tu baada ya game kuisha.

Sitashangaa akiendelea kula mkeka. Na ninamuunga mkono Arteta kwenye hilo.
Daah!.. Kama amefanya kweli huo ujinga Arteta aendelee kupiga pin tu, huyo hajajua makosa yake
 
Kumekua na utaratibu wa open mic ambapo mchezaji mmoja hua anarekodiwa kila anachoongea mechi nzima kisha baadaye kinaonyeshwa kwenye highlight.

Mechi dhidi ya spurs open mic ilikua kwa Kieran Tierney, miongoni mwa alichoskisema ni hichi
View attachment 1727583
kweli aisee chance zinatengenezwa kina laca wanakosakosa

nasikia aliongea hivo wakati spurs wakiongozs 1-0
 
Kumekua na utaratibu wa open mic ambapo mchezaji mmoja hua anarekodiwa kila anachoongea mechi nzima kisha baadaye kinaonyeshwa kwenye highlight.

Mechi dhidi ya spurs open mic ilikua kwa Kieran Tierney, miongoni mwa alichoskisema ni hichi
View attachment 1727583
niliangalia ya Leno aisee, anatoa maelekezo kama kocha full kushout yani
 
Arteta akiwa anafanya intavyu baada ya mechi kuisha zilikua zikisikika kelele za gari likivutwa mafuta kuondoka. Gari ni la Auba, hata wachezaji wa sub walikua bado hawajamaliza kuondoka uwanjani.

Mtangazaji mmoja amesema ".... last in first out.." Auba, kapteni wa timu, aliondoka uwanjani dakika 20 tu baada ya game kuisha.

Sitashangaa akiendelea kula mkeka. Na ninamuunga mkono Arteta kwenye hilo.
auba mbona anataka kuelekea kubaya, hope yatakuwa yameisha, alhamis nikiona kapigwa bench nitajua ni adhabu tena
 
Thierry Henry on #Arsenal : ‘I like the way he set up the team against Tottenham. People were going forward more often than not. The intensity was there, the desire to win the game was there.
‘When they play on the front foot and they go forward they can beat any team in the league.
‘Right now, I think the squad is good. Can it be better? Yes. Was there any progress? I think there was progress.

‘Is there any structure, are they doing better? The table doesn’t lie at the end of the day.
‘You’re still behind Tottenham and a lot of team but it is a process. He says it’s a process that will explode. Hopefully very soon but consistency needs to happen pretty quickly.’
May be an image of 3 people, people sitting and indoor







https://web.facebook.com/asengaa1?_...hQ_IQZkAUfpBX1av1r31ouNjEitQ&[B]tn[/B]=<<,P-R
 
auba mbona anataka kuelekea kubaya, hope yatakuwa yameisha, alhamis nikiona kapigwa bench nitajua ni adhabu tena
Luiz tulimsahau sijui aliombaje msamaha ndiyo karudi tena na hapo ni kwavile Holding alipata majeraha. Duo ilishakua ya Rob na Gabriel au Rob na Mari
 
Arteta akiwa anafanya intavyu baada ya mechi kuisha zilikua zikisikika kelele za gari likivutwa mafuta kuondoka. Gari ni la Auba, hata wachezaji wa sub walikua bado hawajamaliza kuondoka uwanjani.

Mtangazaji mmoja amesema ".... last in first out.." Auba, kapteni wa timu, aliondoka uwanjani dakika 20 tu baada ya game kuisha.

Sitashangaa akiendelea kula mkeka. Na ninamuunga mkono Arteta kwenye hilo.
Attitide is almost everything in life. Zig Ziglar once said, "It is your attitude not your aptitude that will determine your altitude".

Watu walimtetea sana Ozil humu kwa kile walichoita 'misimamo' binafsi lakini utagundua alichokifanya Arsenal kimeathiri career yake na ndio maana utaona baada ya kutoka Arsenal hakuna timu kubwa ilikuwa na time naye kaishia kurudi huko 'kwao'.

Nilimpenda Ozil ila sikupendezwa na attitude yake, Auba akiwa kama captain na huu upumbavu anao uendekeza na mshahara anaolipwa ilifaa ale bench mechi hata 5 na fine ya kutosha. Kwenye maisha yangu hakuna kitu sipendi kama mtu asiye na self discipline.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahidini musogee angalau nafasi ya 6 wenda kukashiriki Futuhi mwakani.
 
Rio Ferdinand on ESR: "I have to say, I love him. I love the way he plays, Smith Rowe.
I was worried actually when Odegaard came in - would the manager play them both in the same team?
But he’s come in this season and just there’s sometimes even that cheekiness about the way that he plays, the way he lends the ball about.
I said this a while ago, he could've played in the era of Wenger in the way that he plays football.
He makes that extra pass, always seems to have that bit of time on the ball, plays with his head up and he’s got that vision and spatial awareness in finding someone in a red shirt.
He’s been a breath of fresh air and a big positive under Arteta. I think Saka’s obviously been the stand-out young gun that’s come in but he’s not very far behind. For the future, I think it’s very bright for him."
May be an image of 3 people
 
Gilberto Silva on Thomas Partey: “He makes Xhaka look better in the game, he made the defenders look a lot better and comfortable when the ball was against them. I think the way he manages games, the way he positions himself, is very important for Arsenal.”
No photo description available.
 
Castr

Hii comb ya smith na KT, ndio maana unasema ina intensity,

Kieran Tierney on Emile Smith Rowe: "He will go very far in the game."
 
1. Mane elbows Tierney's face
2. Lacazette disallowed goal against Leicester
3. Luiz sent off Vs Wolverhampton
4. Bruno stamp on Xhaka
5. Liam Cooper handball
6. Erik Pieters handball
7. Martinez fouls Lacazette


Dropped points in all 7 games. Pundits won't speak on this though!
 
Having scored three away goals in Athens last week, we're favourites to progress from our Europa League last-16 clash with Olympiacos.

So how is Mikel Arteta planning on rotating his squad for Thursday’s return leg in London? Who could come into contention and who could take a well-earned rest?

This is what our manager told the media about a whole host of players:

on the latest team news…
Everyone is more or less okay. We have a few doubts but hopefully everyone will be involved in the squad.

on a chance to give some players minutes…
It's a good time for everybody, it is a really important game for us, nothing has been decided - there is still another 90 minutes at least to play for and we know it is going to be tough and everyone has to be ready. We have the opportunity to make changes, we have five substitutions so we will decide the best team to try to beat them.

on why Martinelli hasn't been playing…
No, if anything it's my fault, he has done everything perfect, he trains incredibly well every day, his attitude cannot be any better, he is disappointed he is not playing more obviously and I have spoken to him, but he needs to be a little bit patient. He had some minutes, he had some games as well and it's true the competition for the front positions is very tough but he needs to be patient and he will get his chance.

on the latest with Aubameyang…
We talked, everything has been resolved in a really positive way so we move forward.

on whether it's a given he will come back into the team…
No, everybody has to obviously perform at the highest level to earn their place in the team, there is no exception there and we will try to put a really competitive team out tomorrow to try to win again.

on whether Emile Smith Rowe may be somebody we rest...
It's true that we have some players with some significant loads there, but our priority now is to win these next two games and then whatever happens with international duty. If anything, they will have to adapt to what we want. We're not going to do it the opposite way around because we are the ones that have to look after our players here every day. But at the end, we're the ones who pay our players so if anybody has to adapt, that's the national teams and not us.

on what the latest is on Bukayo Saka's availability...
He was doing another test and obviously he felt something muscular. But he's been much, much better and they've both been really well. So we'll make the decision this afternoon on what we'll do.
 
Aliyoyaongea Mikel Arteta kwenye mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Olympiacos :

🖌️
Kuhusu majeruhi.…

Kila mtu yuko sawa kwa kiasi fulani. Tuna mashaka kidogo lakini tunaamini kila mtu atakuwepo kikosini.

🖌️
Akiongelea uwezekano wa kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji wasio pata muda mwingi wa kucheza …


Ni wakati mzuri kwa kila mtu, ni mechi ya muhimu sana kwetu, hakuna kilicho amuliwa. Bado kuna dakika 90 nyingine na tunajua itakua ngumu hivyo kila mtu inabidi awe tayari. Tuna nafasi ya kufanya mabadiliko, tuna nafasi 5 za wachezaji wa akiba hivyo tutaamua ni kipi kikosi bora kitakacho jaribu kuwafunga.

🖌️
Kama kuna sababu za Martinelli kutokucheza…


Hapana, kama kuna chochote kimetokea ni kwa sababu yangu. Anafanya kila kitu kwa ukamilifu, anafanya mazoezi kwa nguvu. Tabia yake ni nzuri na anakerwa na kutokucheza mara kwa mara na huwa naongea nae lakini inabidi awe mpole.

🖌️
Kuhusu Aubameyang...


Tumezungumza na mazungumzo yameenda vizuri. Tunasonga mbele.

🖌️
Kuhusu Bukayo Saka


Alifanyiwa vipimo baada ya kuuimia misuli lakini anaendelea vizuri na tutaamua baadae kama atacheza kesho.
161875435_257287179385311_3534935517219253146_n.jpg
 
Back
Top Bottom