khee ekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mbaazi akikosa maua bana Wacha WIVU! Barca wameharibu wiki yako ulikuwa na matarajio, chacha vipi kesho? Bundi bado yupo darajani?

Huyo bundi kapotea njia tu atarudi home muda si mrefu, makazi yake ya kudumu kwa miaka 6 sasa ni Emirates Library (si unajua bundi anapenda utulivu ndio maana anatembea usiku wakati viumbe wengine wanasinzia). Kutokana kujifungia ndani kwa muda mrefu wa miaka 6, bundi huyo akiwa matembezini kwa nia ya kwenda kutembelea nyumba yake ya zamani hapo jirani Highbury alijikuta akipotea na kuchukua Piccadilly line westbound na kuishia Earl's Court ambako amepewa hifadhi ya muda kabla ya kurudishwa kwao Emirates. Sababu kubwa mpaka sasa kwanini bundi huyo hajarudishwa nyumbani ni kugoma kwake kurudi kwa kuhofia kuacha maisha ya kifahari anayopewa na wasamaria wema wa West London kulinganisha na ya yale ya mlo mmoja kwa siku alikuwa akiwa katika Makataba ya Imarati....Bundi huyo alisikika akisema "Nobody would leave this lavish life style of West London and go to "enjoy" a single meal per day at Emirates, life is very stressful over there". Mpaka tunaenda mitamboni juhudi zilikuwa zikifanywa kumrudisha nyumbani bundi huyo.
Njooni mmchukue ndugu yenu, mmemWacha anazurura hovyo kama hana kwao!!
Guardiola toka achukue Barca,hana rekodi ya kushinda mechi ugenini ktk hatua za mtoano gonga/click na soma hapa chini
Barcelona Haven't Won An Away CL Knockout Game Under Pep Guardiola - Here Is The List - Goal.com
ila hapo nou camp washabiki wa arsenal wenye roho nyepesi kazi mnayo na machela inabidi ziwe karibu nanyi maana jamaa wakiwa wanasaka ushindi ni balaa.
Khe khe kheeeeeeeeeeeeee nasikia jamaa chacha wanatapatapa tu ...khe khekhe khe blood money will never give them glory khe khe kheeeeee walisema last week chacha wanaongelea mwezi ujao khe khe kheeeeeeeeeeee imekula kwao.
Usiku hawalali wanamuwaza Wacha khe khe kheeeeeeeeeee .... ..... ..... rafiki yangu moja tulipokuwa shule aliniambia wahehe wanamsemo huu; 'Lwiga lwiga kihonga mnyoo mgata'
Akasema maana yake ni kwamba usiige ige tu mambo hiyo inaashiria your a s s h o l e ni mvivu wa kufikiria. ... ..... Bundi will always be associated with Chelsick .... ... ...
Huyo bundi kapotea njia tu atarudi home muda si mrefu, makazi yake ya kudumu kwa miaka 6 sasa ni Emirates Library (si unajua bundi anapenda utulivu ndio maana anatembea usiku wakati viumbe wengine wanasinzia). Kutokana kujifungia ndani kwa muda mrefu wa miaka 6, bundi huyo akiwa matembezini kwa nia ya kwenda kutembelea nyumba yake ya zamani hapo jirani Highbury alijikuta akipotea na kuchukua Piccadilly line westbound na kuishia Earl's Court ambako amepewa hifadhi ya muda kabla ya kurudishwa kwao Emirates. Sababu kubwa mpaka sasa kwanini bundi huyo hajarudishwa nyumbani ni kugoma kwake kurudi kwa kuhofia kuacha maisha ya kifahari anayopewa na wasamaria wema wa West London kulinganisha na ya yale ya mlo mmoja kwa siku alikuwa akiwa katika Makataba ya Imarati....Bundi huyo alisikika akisema "Nobody would leave this lavish life style of West London and go to "enjoy" a single meal per day at Emirates, life is very stressful over there". Mpaka tunaenda mitamboni juhudi zilikuwa zikifanywa kumrudisha nyumbani bundi huyo.
Njooni mmchukue ndugu yenu, mmemWacha anazurura hovyo kama hana kwao!!
Kiukweli ni kwamba yule bundi aliyekuwa darajani for 50 years na kuhamia Ashburton Grove/Imarati for 6 years kaamua kurudi nyumbani alikozaliwa na kukulia kwa miaka 50,ndo maana nyumba ya jirani(darajani) hakukauki milio ya bundi,tayari karudi anako stahili kuishi,hatujui ataweka kambi hapo kwa muda gani kwani nyumbani ni nyumbani....ni hadithi ya mwana mpotevu hii......lols
Khe khe kheeeeeeeeeeeeee nasikia jamaa chacha wanatapatapa tu ...khe khekhe khe blood money will never give them glory khe khe kheeeeee walisema last week chacha wanaongelea mwezi ujao khe khe kheeeeeeeeeeee imekula kwao.
Usiku hawalali wanamuwaza Wacha khe khe kheeeeeeeeeee .... ..... ..... rafiki yangu moja tulipokuwa shule aliniambia wahehe wanamsemo huu; 'Lwiga lwiga kihonga mnyoo mgata'
Akasema maana yake ni kwamba usiige ige tu mambo hiyo inaashiria your a s s h o l e ni mvivu wa kufikiria. ... ..... Bundi will always be associated with Chelsick .... ... ...
Kiukweli ni kwamba yule bundi aliyekuwa darajani for 50 years na kuhamia Ashburton Grove/Imarati for 6 years kaamua kurudi nyumbani alikozaliwa na kukulia kwa miaka 50,ndo maana nyumba ya jirani(darajani) hakukauki milio ya bundi,tayari karudi anako stahili kuishi,hatujui ataweka kambi hapo kwa muda gani kwani nyumbani ni nyumbani....ni hadithi ya mwana mpotevu hii......lols
Aaahh! Everybody knows farty fat Arses are Assholes![/SIZE]
...e bana weeee, maneno ya mkosaji hayo kaka,...
Muungwana ni vitendo.
Khe khe kheeeeeeeeeeeeee nasikia jamaa chacha wanatapatapa tu ...khe khekhe khe blood money will never give them glory khe khe kheeeeee walisema last week chacha wanaongelea mwezi ujao khe khe kheeeeeeeeeeee imekula kwao.
Usiku hawalali wanamuwaza Wacha khe khe kheeeeeeeeeee .... ..... ..... rafiki yangu moja tulipokuwa shule aliniambia wahehe wanamsemo huu; 'Lwiga lwiga kihonga mnyoo mgata'
Akasema maana yake ni kwamba usiige ige tu mambo hiyo inaashiria your a s s h o l e ni mvivu wa kufikiria. ... ..... Bundi will always be associated with Chelsick .... ... ...
Mh. Mbu,
Mimi nimecopy tu maneno ya "muungwana" Wacha, angalia hapo chini:
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wanga wakachome tunguli zao. Chama kubwa hili na kwa budget ndogo tu.
Habari za siku jirani...naona mambo sio mambo mwaka huu...pole na safari ya jana
Nzuri jirani, mambo si mambo darajani lakini maisha yasonga mbele. Ahsante sana, hali yetu sio nzuri sana.