Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Calum Chambers anaweza kucheza CB, RB na DF. Amewahi kucheza in reality akiwa Southampton na Arsenal.

Wenger era alicheza sana nafasi hizo tatu CB, RB na DF (CB alicheza na Koscielny, Mertesacker, Gabriel Paulista.)

RB amecheza sana kipindi tukiwa na majeruhi na katika kumbukumbu goli lake la kwanza na la pili aliyafunga akiwa amepangwa RB.

DF alicheza kipindi Santi, Coquelin, Wishere na Ramsey ameumia mara nyingi alikuwa akisimama na Flamini.

cc. Castr
Ulisema Xhaka best yako.

Mwambie anavyotufanyia siyo fair. True alitumia weaker foot lakini siyo excuse kwa anachotupitisha.
 
Jamani wataalam wa mpira hii inaitwaje [emoji23][emoji23][emoji23]
05089996929b4b42b3c9cb894ec03119.jpg

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Willian ana assissts 6.

Ziyech na Pullisic wana assissts 4.
[emoji23][emoji23][emoji23]assist6 nafas ya10 asst4 nafas ya 4[emoji23][emoji23][emoji23]takataka likitoa assist mnalfurahia akat limezdiwa magol na thiago silva
 
[emoji23][emoji23][emoji23]assist6 nafas ya10 asst4 nafas ya 4[emoji23][emoji23][emoji23]takataka likitoa assist mnalfurahia akat limezdiwa magol na thiago silva
Ni sawa tu kwakua Thiago kazidiwa assisst na Kepa pia.
 
Ulisema Xhaka best yako.

Mwambie anavyotufanyia siyo fair. True alitumia weaker foot lakini siyo excuse kwa anachotupitisha.
Sawa! Ujumbe nitamfikishia.
-
Tukumbuke na mazuri yake kuweka uwiano sawa. Hata Aubameyang kuna kipindi alikuwa flop! Na tuliendelea kuamini atarudi sawia.

Kauli mbiu ni #VAROut
 
Arsenal hii!!!!!!, ngoja nisimseme kocha, msije nitoa roho. Mara ya pili mfululizo xhaka anachoma
 
Sawa! Ujumbe nitamfikishia.
-
Tukumbuke na mazuri yake kuweka uwiano sawa. Hata Aubameyang kuna kipindi alikuwa flop! Na tuliendelea kuamini atarudi sawia.

Kauli mbiu ni #VAROut
Hata mazuri yake hua unaona humu tukiyataja hii mechi ingekua iko hivi huku tuko nafasi nzuri kimechi na kimsimamo alichokifanya kisingeonekana cha hovyo as tungeamini tutarudi tena.

Now next game ni dhidi ya spurs. Tunazidi jibakisha nafasi ya tisa na kumi.
 
Mikel Arteta: "Someone has to explain to me exactly what a penalty is"
 
Mikel Arteta: "Someone has to explain to me exactly what a penalty is"
A penalt is a situation where Saka is kumkwatua Wood akiwa anamuangalia kipa, akiwa katika uwezekano wa kufunga. Lakini marefa waliiacha hata VAR haikuhusishwa. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ulisema Xhaka best yako.

Mwambie anavyotufanyia siyo fair. True alitumia weaker foot lakini siyo excuse kwa anachotupitisha.
Then akiondolewa kikosini utasikia, "Ni operation ya kuondoa watu wa imani fulani".
 
A penalt is a situation where Saka is kumkwatua Wood akiwa anamuangalia kipa, akiwa katika uwezekano wa kufunga. Lakini marefa waliiacha hata VAR haikuhusishwa. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Una akili sana kama mtoto wa mwalimu ukisoma sana lazima uje kua nesi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom