We are good than most financially.Arsenal wameripoti kupata hasara ya £ 47.8m kwa mwaka wa fedha, 2019-2020 [@ kayakaynak97]
Uchanganuo wa fedha
Klabu ilitumia kiasi cha £10m kwa ajili ya kumlipa Unai kufukuzwa na kuajiriwa kwa meneja wa sasa Arteta
kukatwa kwa mishahara kwa wachezaji ilipatikana kiasi cha £19m ambacho kiliingizwa kwenye bajeti moja kwa moja![]()
klabu ilipata kiasi cha £60.1m kutokana na mauzo ya wachezaji waliouzwa na kutumia kiasi cha £182.2m kununua wachezaji wapya katika msimu huo wa 2019/2020![]()
maamuzi yote haya yalifanywa na KSE pamoja na mwenye hisa Stan Kroenke![]()