Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal tulifanya kosa kubwa kumuuza Goalkeeper Martinez
Katika soka nafasi ya goalkeeper ni very stubborn, huwezi kuwa na makipa wenye uwezo unao shabihiana unless mmoja awe very young with the promise to succeed the number 1 choice in the future.

Kwa age ya Martinez (28yrs), uendelee kumuweka bench anasubiri nini? 28yrs kwa goalkeeper ni almost post-prime age, hata hivyo kukataa ofa ile waliyoleta Villa ingekuwa 'uwendawazimu wa karne'. For me, that was a perfect 'win-win' situation kati ya Arsenal na Martinez himself.

Pia Arsenal haijawahi kuwa na tatizo la goalkeeper tangu Martinez aondoke, hata yeye kule Villa 'anatoboka' pia sometimes. Kipa kufungwa sio tu ubovu wake, kuna wa defenders lakini pia kuna perfect move ya opponents ambayo finally inakuwa capped na goli.

Kuna wakati almost every player amefanya vizuri defensively lakini unafungwa kutokana na opponents kufanya vizuri zaidi offensively. Arsenal ipo hapa ilipo kutokana na attacking problems zaidi kuliko defensive ones.
 
Castr kuna tatizo lolote hapa? Nimeona bro gspain ametoa mtazamo wake. Tusibiri kuona yajayo, yes Xhaka ame-cost 3 Points lakini ni wazi msimu huu amekuwa katika consistency.
Hakuna tatizo. NimekuCC ili uone hayo maoni kwamba mchezaji hua dropped kutokana na kiwango na siyo dini kama ulivyowahi kusema.
 
Msimu huu Serge Gnabry amekua na kiwango kidogo tofauti na msimu uliopita ukiangalia kwa ukaribu utagundua majeruhi yaliyomkumba Davies yanachangia.

Swali linakuja ni vipi mgonjwa awe mwingine kisha kiwango kishuke cha mwingine.

Davies akiwa anacheza hua anapandisha mashambulizi na anaoverlap runs as in beki atamuona Gnabry anakuja na mpira lakini nyuma ya Gnabry anakuja Davies kwa speed akitanua kumpa Gnabry option ya kupasi.

Kama hauelewi angalia goli la tatu la Pepe dhidi ya Leicester. Pepe anakuja lakini Cedric anatanua kumpa option Pepe

Hii humfanya beki asijue amkabe nani , mostly beki huamua kukaba move kwa kumkimbilia anayeoverlap hence mwenye mpira (Gnabry/ Pepe) anakua na nafasi ya kushuti.

Jana RB alikua Chambers. Hamfikii Hector wala Cedric katika hizi overlap runs. Now utaelewa kwanini jana Saka alionekana miyeyusho, hapati mipira mara kwa mara na akipata ana rundo la mabeki wa kuwapita huku option pekee ikiwa Odegaard minus fullback anayeoverlap.

Pengine Arteta akaona Pepe itamfaa hiyo nafasi as ana skills, but si ni hua nasema games za wapaki basi inabidi wawekwe wanaojua kushoot from the start? Hence Pepe, Dani na Laca.
 
Kwahiyo kwa maoni yako ilikuwa ni kosa kumuanzisha chambers (kubadilisha timu ya ushindi dhidi ya Leicester) jana??
 
Screenshot_20210307-204142_All%20Goals.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mfano nipo Administration block ya UDSM napita wapi kwenda Law School?
 
Poleni sana gunners! Msimu huu top ten maana yake ni tunakuwa "tenth"
 
Wakuu mfano nipo Administration block ya UDSM napita wapi kwenda Law School?
Mzee mwenzangu

Mfano upo au upo hapo/unaelekea huko unataka kufahamishwa..

Au swali hili ni chanzo cha swali linalofata au maelezo unayotaka kutoa!?
 
Mzee mwenzangu

Mfano upo au upo hapo/unaelekea huko unataka kufahamishwa..

Au swali hili ni chanzo cha swali linalofata au maelezo unayotaka kutoa!?
Ni nimewahi kufika mpaka hapo Admin.. Block ila sijui Law School ilipo.

Hivyo nataka kujua nikiwa pale Admin Block nitafikaje Law School.
 
Ni nimewahi kufika mpaka hapo Admin.. Block ila sijui Law School ilipo.

Hivyo nataka kujua nikiwa pale Admin Block nitafikaje Law School.
Ulipoweka neno mfano kwangu ikaleta ukakasi kidogo.

Ngoja waje wanaopajua zaidi watakusaidia albabu..
 
Hesabu zinatugomea kuingia hata top 6.

Kuna uwezekano tukapoteza nafasi ya kushiriki Uefa. Nafasi tuliyonayo ni ya kutwaa Europa nje ya hapo itakua ni kujipanga kwa ajili ya msimu wa 22/23.

Kwa kikosi tulichonacho na marefa waliopo ni ngumu kua na taswira ya mia kwa mia kwamba tutavuka huu mtihani.

Ni disappointment kiukweli ila tunahitajika kusapoti timu bila kujali ilipo. This is family na hatusaliti familia, hatuside na yeyote who is against the family.
 
Back
Top Bottom