Kuna Arsenal mwenzangu ananiambia Arteta hafai Arsenal.
Nikamuambia game na Burnley Saka kakosa chances 2, Pepe 1, tumenyimwa penati mara mbili. Goli ni uzembe wa Xhaka hilo linakuaje kosa la Arteta.
Akasema kwahiyo unamuamini Arteta? Ila yeye hamuamini kwa kipindi chote atachokuepo pale.
Nikamjibu rais mpya wa Barcelona aliahidi kumsajili Arteta kama atashinda urais.
Akatuma VN kuniambia hilo haliwezekani waspanish wanabebana yaani kaongea hivyo ili Arsenal ipate ubaridi kumtimua.
Akaendelea kwa kusema timu yetu hadi leo haina first eleven watu wanabadilika kila mechi.
Nikamjibu hiyo inatokana na back to back games inakua no way out inabidi urotate kikosi. Wengi wamemkatia tamaa Arteta? As in hauoni improvement kabisa?
Hii timu beki yake iliyokua nyanya msimu uliopita sasa hivi ndiyo miongoni mwa beki ngumu, msimu huu na ugumu wote ST wetu ana goli 14.
Msimu huu tusitarajie makubwa. Msimu ujao tumdai.
View attachment 1720732