Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Football London understands that the Arsenal ownership have full faith in Mikel Arteta & backed him to complete a ‘cultural overhaul’ at the club which included a number of first team players leaving in January & the summer.
@ChrisWheatley_

With further changes expected on the playing staff side this summer & a clear appetite to bring in more of his own players, Arteta’s time in north London won’t be coming to an end anytime soon.
@ChrisWheatley_
 
Hii timu kwa sasa inasuasua bado wachezaji hawajajua mfumo vizuri wa kocha ila msimu ujao tutawasha moto kwa sana!!
Kwa sasa iangalie imalize ligi ndani ya timu tano za mwanzo ili tushiriki michuano ya kimataifa mwakani.
Always Arsenal will go forward!!
 
ugumu upo kwenye kushinda mechi kadhaa mfululizo. hiki kitu kinatugharimu sana. tumepoteza michezo mingi mno pia na kuna uwezekano wa kupoteza michezo mingine mbeleni
 
This could be avoided if we dont have key players on injury list, something most unlikely
 
Tumebakisha games 12 ili msimu uishe muda huu tupo nafasi ya 10 na points 37 walio juu yetu ni Villa na spurs, wana points 39.

Tukishinda game ya Jmosi tutapanda mpaka nafasi ya 8 kisha tutarudi tena nafasi ya 10. Nasema hivyo kwakua Spurs ana game na Fulham na Palace halafu Villa ana game na Sheffield kisha Wolves. Halafu Arsenal tuna game na Burnley kisha Spurs. (Katikati kuna Olympiacos)

Unaona Spurs au Villa wakipoteza game ipi kati ya mbili zifuatazo? Sisi je?

Unaionaje hiyo nafasi ya 10 inavyotung'ang'ania? Mwezi nyuma hesabu zilikua zinaonyesha tunahitaji kushinda games 3 mfululizo ili kuingia top 4 leo hesabu zinaonyesha inatakiwa ushinde games 3 mfululizo huku ukiombea walio juu yako wapoteze.

Ama la tutumie shortcut ya Europa. Ambayo ni ngumu, last season tulipitia shortcut ya FA ila saa hii hatupo FA so nafasi pekee tuliyonayo ya kuhakikisha tunakuwemo kwenye mashindano ya Ulaya ni ushindi wa bandika bandua kwenye ligi au kombe la Europa.

Sema mwenyewe kipi kinawezekana kati ya hivyo viwili?

Niliwaambia wakimbia uzi waendelee kujificha wasirudi angalau baada ya games 6 ila imezidi kua ishu now kimbieni msirudi hadi msimu uishe.

Kazi kwake Arteta.
 
Arteta bado anajifunza, arsenal walikosea sana kumchukua huyo jamaa!
 
Ni kweli anajifunza ila hapa alipofikia tayari Barcelona wanamtaka. Mimi sioni kama Arsenal tulikosea kulingana na project ya timu Arteta alikua mtu sahihi.

Pia ni ngumu kua na kocha mzoefu na akawa ana ustahimilivu wa Wenger wa kutopewa pesa ya usajili na asiwe frustrated.
 
Mikel Arteta:
on rumours linking him with Barcelona...
There is always going to speculation when there are elections in Barcelona. It's a huge team. Obviously I was raised there as a player and they're always going to be linked. I'm fully focused on the job that I have to do here, and we have a lot to do. I'm really enjoying it.

-arsenal.com
 
Kwa walichofanywa Leicester leo naamini ushindi wetu kwa Burnley utakua wa nguvu kidogo.

Leicester katia huruma.
 
Jana mpira umedunda. Sheffield kamfunga Villa tena huku akiwa na red. Villa akamiliki mpira kwa zaidi ya 70% shots 14 ila chances alizotengeneza zote akakosa.

Now wana points 39 ila wana mchezo mkononi. Leo spurs anaingia uwanjani dhidi ya Fulham ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom