Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Katika gemu hizi 12 tulizobakisha Arsenal wakikaza angalau gemu 8 tushinde na kudroo ama kupoteza kati ya hizo 4 mechi zilizobaki nakuhakikishia tano bora tumo!!
Wachezaji wakiamua na sisi kuwaombea dua asitokee majeruhi hata mmoja.
Arsenal tutakuwa juu na mashindano yajao ya kimataifa kama kawa tunawakilisha bendera kwa Uingereza.

Always London is red!!
Kuwaombea dua!!
 
Arsenal imeanza mapema kutaka kukamilisha usajili wa beki wa kulia wa Brighton Albion Tariq lamptey ambaye ada yake imetajwa kuwa in £25m

Hii inaonesha huenda msimu ujao hatutakuwa na hector belerin ambaye klabu ya PSG wanahusishwa naye

May be an image of 1 person and text that says 'AFTU TARIQ LAMPTEY T100m MARKET VALUE £25m AMERICAN EXPRESS AGE 20 BRIGHTON HOVE ALBION Arsenal >>> た RUMOUR''AFTU TARIQ LAMPTEY T100m MARKET VALUE £25m AMERICAN EXPRESS AGE 20 BRIGHTON HOVE ALBION Arsenal >>> た RUMOUR'
Fununu tu hizi. Zingine tulizohusishwa nazo ni za Hakimi.

Cedric hatoshi?
 
Fununu tu hizi. Zingine tulizohusishwa nazo ni za Hakimi.

Cedric hatoshi?
ni fununu ambazo zimepamba moto wiki nzima, jana Fabrizio kathibitisha , hakimi?umeziona wapi? binafs ndio naisikia kwako...japo sidhan kama inter watamuuza,

belle anatakiwa asepe... hivo cedric hawez kubaki peke yake..

the same kwa KT atasajiriwa LB, kila jtano romano huwa anatoa transfer news, ndio imetoka hiyo ya lampatey,

bellerin amekuwa poor ktk kross, defending...Arteta atampiga bei, barca , juve na psg wanamtaka....
 
Umekuwa mamluki siku hizi wewe siyo mwana Arse8 twenzetu tutakutenga kwenye kundi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
hahahhh siwez kuw mamluki, changamoto tu ...arsenal hii ya arteta naielewa sana...sikos mech , najua ti mu inajengwa, kuelekea mwisho tunaenda kubeba europa ,

kikos kimeshapata rythm, creativity imeshapatikana, auba karud kwenye makali, pepe usimguse,

leo na mwenzako liverpool mpate sare....hutaamini ninapobeba europa, na kutinga top 4
 
hahahhh siwez kuw mamluki, changamoto tu ...arsenal hii ya arteta naielewa sana...sikos mech , najua ti mu inajengwa, kuelekea mwisho tunaenda kubeba europa ,

kikos kimeshapata rythm, creativity imeshapatikana, auba karud kwenye makali, pepe usimguse,

leo na mwenzako liverpool mpate sare....hutaamini ninapobeba europa, na kutinga top 4
Sare? Mi nina roho mbaya nataka chelsea ifungwe.
 
Bado safari ni ndefu. Mantra ni ile ile kama una moyo mdogo endelea kujificha huko ulipo.

Kwa game ya leo Tierney na Partey hawatakuwepo, katikati itabidi awepo Xhaka na Elneny. Kuna msimu utafika Partey na Tierney wataonekana strong huo msimu ukifika tutafute wa kumtapeli kama tulivyowatapeli united kwa Sanchez na Van Persie.

Leeds habadilishi formation iwe jua iwe mvua yeye ni 4 1 4 1 tu dakika zote za mchezo anafanya ndani ya boksi la mpinzani kuwe na wachezaji zaidi ya 3. Ni nadra leeds kusecure clean sheet wakati formation inamruhusu kukaba na kushambulia, hapo ni mawili ama timu haina stamina au mabeki ni wabovu.

As in utakuta anashinda 4 na yeye anakua kafungwa 2. Maajabu yake first leg tulitoka nao bila bila, kwamba defense yetu ilikua poa sana, ila attacking yetu haina makali siyo kwa leeds pekee.

Kuna wachezaji wakibadili kitu fulani wanakua hovyo, Iwobi wakati ana panki alikua hatari alivyoanza dredi akawa utumbo, Aguero bila bleach alikua hatari alivyoweka bleach na majeruhi yakamkumbuka, same kwa Messi. Magalhaes afanye kuondoa kale kableach ile ndiyo laana yake. Inamfanya asionekane kama yupo serious.

Anyway, tulitoka bila bila na leeds tukiwa tunacheza 4 2 3 1 game ilikua ngumu hii siku. Arteta alikua anajaribu AM gani atasaidia timu na alimpa namba Willock, jamaa mmoja akapata red ya kizembe kweli kweli. Na matokeo yake?

Leeds wakapossess mpira kwa asilimia 66.

Leeds wakapiga mashuti 25 dhidi ya 9 ya Arsenal.

Leeds ikatengeneza big chance 2 dhidi ya moja ya Arsenal.

Leeds ilipiga pasi 610 dhidi ya 310 za Arsenal.

Watu wakakimbia uzi.

Ilionyesha Arsenal bado safari ndefu. Kadi moja nyekundu kwa timu iliyokamilika siyo kitu kabisa ila kwa Arsenal hua ni dhahma.

Alloski anasema ana hamu ya kukutana na rafiki yake Pepe hii ni mind play ili Pepe arudie komedi ile ile apate tena red.

Ila siku hizi Peoe hachezi upande wa Alloski so kama Alloski atapangwa kumfuata Pepe basi tutajua kua Leeds wako serious na ushindi wa leo as huu ushindi utamfanya azidi kuweka gape kati yake na sisi tunaoshika nafasi ya 11 kushuka chini.

Again, betting companies hazina imani na Arsenal, zimetoa odds kuanzia 1.80 mpaka 2 wakati leeds kapewa 4 mpaka 4.10. Sofascore inasema kwa hizo odds Arsenal hugewa asilimia 55 za kushinda ila hushinda kwa asilimia 34.

Leeds hugewa asilimia 25 kushinda wakiwa na odds hizo ila hushinda kwa asilimia 47. Hivyo basi katika hii game anayetarajiwa kushinda ni Leeds. Plus majeruhi tuliyonayo so you know where this is going.

Nafikiri tufocus na Europa. Kwa sasa Arsenal hata ikifight vipi haitashika zaidi ya nafasi ya pili ambayo matokeo yake ni kwenda uefa, ukichukua europa unaenda uefa ila u go with style, so tufocus huko. Thom na KT3 wagonjwa ila itakua vyema wakiwepo katika game ya Benfica.
Wajitekenya mwenyewe na kicheka mwenyewe unawezaje matendo hayo yote???
 
Matteo Guendouzi is not expected to play for Arsenal again. A source at Arsenal has told us that Arteta has made it clear Guendouzi is not part of his plans for next season. Arsenal have set a £25m price tag for him and are confident they will find a buyer. [
@footyinsider247
]
 
William Saliba amecheza zaidi ya mechi 8 na hakuna aliyeweza kumchenga kwa kudribble.

Sijui kama atarudi Arsenal tho.
 
William Saliba amecheza zaidi ya mechi 8 na hakuna aliyeweza kumchenga kwa kudribble.

Sijui kama atarudi Arsenal tho.
Si mbaya akirudi maana David Luiz anakaribia kustaafu. Akiwa vizuri hatutakuwa na haja ya kutafuta beki, kazi ibaki kwa wingback na CAM
 
Back
Top Bottom