iwamusani
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 336
- 318
Ndo maana makasiriko daily...kumbe huwa unapanda pesaTulivyopigwa moja. Odds zikapanda tukawa tuna 5.50 nikabeti.
Nilijua lazima tutashinda aliyenifelisha Crystal Palace

Ndo maana makasiriko daily...kumbe huwa unapanda pesaTulivyopigwa moja. Odds zikapanda tukawa tuna 5.50 nikabeti.
Nilijua lazima tutashinda aliyenifelisha Crystal Palace

Nikikwambia amounts ninazobet utacheka.Ndo maana makasiriko daily...kumbe huwa unapanda pesa![]()
Ilikuwa joking..Nikikwambia amounts ninazobet utacheka.
Anyway, hua nakasirika katika games ambazo tunapata chansi ila hazitumiki. Ile siku city katufunga moja sikukasirika as timu ilionyesha jinsi gani inataka ushindi.


Mkataba ukiwa unaishia Willian hukua kiwango ghafla. Mfuatilie, tangu akiwa cheltako alikua hivyo.Arteta anasema Willian ameamua kupambana...
![]()
Arteta: Willian is rebuilding himself
Mikel Arteta says Willian is starting to show what he can do for Arsenal after impressing in training in recent weeks. The Brazilian was one of a number of impressive performers at the King Power on Sunday as the Gunners came from behind to seal a 3-1 win against Leicester. The midfielder took...arseblog.news
ila huku kwetu si ndo kwanza ameanza? labda ndo ameanza kuzoea mazingira mapya?Mkataba ukiwa unaishia Willian hukua kiwango ghafla. Mfuatilie, tangu akiwa cheltako alikua hivyo.
Mkataba ukiwa unaishia Willian hukua kiwango ghafla. Mfuatilie, tangu akiwa cheltako alikua hivyo.
Kwa wenzetu hii time wanaweza ongezea mtu mkataba au wakamchekecha. Kwani Arteta mkataba unaisha lini? Mbona tayari wanataka kumuongezea mkataba.Wakati anajiunga alisaini mkataba wa miaka 3.. kama kuisha ni bado sana.
Pépé leo 'kaupiga mwingi' na moja ya sababu ni kucheza na Cedric ambae mara nyingi ana "overlap" na kumwachia nafasi ya kuingia kwenye box au kupiga shuti.
•Cédric na Pépé leo walipeana jumla ya pasi 31 ukilinganisha na pasi 7 tu walizopeana na Bellerín vs Man City.
Saaaana na Cedric hata upande wa Tierney anauwasha moto vibaya.Kinachomsaidia Bellerin kwa sasa ni kuwa vice captain, ila tukiangalia kiwango kwa sasa hamfikii Cedric hata kidogo.
Bro umepotea.Pépé leo 'kaupiga mwingi' na moja ya sababu ni kucheza na Cedric ambae mara nyingi ana "overlap" na kumwachia nafasi ya kuingia kwenye box au kupiga shuti.
•Cédric na Pépé leo walipeana jumla ya pasi 31 ukilinganisha na pasi 7 tu walizopeana na Bellerín vs Man City.
nipo nduguBro umepotea.
Arteta anamuuza summer , psg au barca...Kinachomsaidia Bellerin kwa sasa ni kuwa vice captain, ila tukiangalia kiwango kwa sasa hamfikii Cedric hata kidogo.
hili sioni likitokea. naona bellerin ni kati ya wachezaji anaowataka kwenye project yake.Arteta anamuuza summer , psg au barca...
Wee jamaa mkishashinda bdo unaonekana wewe siyo shabiki halisi wa Arse8 wewe ni mamlukiPépé leo 'kaupiga mwingi' na moja ya sababu ni kucheza na Cedric ambae mara nyingi ana "overlap" na kumwachia nafasi ya kuingia kwenye box au kupiga shuti.
•Cédric na Pépé leo walipeana jumla ya pasi 31 ukilinganisha na pasi 7 tu walizopeana na Bellerín vs Man City.