Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tulivyopigwa moja. Odds zikapanda tukawa tuna 5.50 nikabeti.

Nilijua lazima tutashinda aliyenifelisha Crystal Palace
 
burnley huyu anayepigwa na vikuku kama watoto wadogo? sisi si tutamuua kabisa huyu?
Tukicheza na watumia 4 4 2 hua wanatusumbua mostly hizi games hatushindi with clean sheet.

Burnley wanatumia 4 4 2. Kwavile tutataka kulinda wachezaji dhidi ya Olympiacos inaweza isiwe game ya kujiachia sana.
 
Unaona kwanini Willian haachwi? Yaani akicheza hua ana workrate kubwa kuliko wachezaji wengi, mfano leo, Luiz ana workrate sawa na Willian na hapo ni kwakua Luiz ana goli.
Screenshot_20210228-185115_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom