Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jana mpira umedunda. Sheffield kamfunga Villa tena huku akiwa na red. Villa akamiliki mpira kwa zaidi ya 70% shots 14 ila chances alizotengeneza zote akakosa.

Now wana points 39 ila wana mchezo mkononi. Leo spurs anaingia uwanjani dhidi ya Fulham ngoja tuone.

Nina uhakika Fulham itaishangaza Spurs. Wale vijana wa Scott Parker si mchezo aisee!
 
Kwa arsenal kitu kinachopungua ni wachezaji kutokujituma lkn wakijituma tu kidogo wanaweza fanya maajabu

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Games tatu za mwisho za Arsenal zimeonyesha timu ina spirit ambayo tuliihitaji tangu mwanzo.

Game na City, tulifungwa moja lakini tulionyesha kupambana kwa nguvu zote.

Game na Benfica, mpaka dakika ya 87 tuko sare ya mbili mbili ikimaanisha benfica anafuzu ila tukashinda.

Game na Leicester, wameanza kutufunga ila tukafanya comeback nzuri tu.
 
Tumebakisha games 12 ili msimu uishe muda huu tupo nafasi ya 10 na points 37 walio juu yetu ni Villa na spurs, wana points 39.

Tukishinda game ya Jmosi tutapanda mpaka nafasi ya 8 kisha tutarudi tena nafasi ya 10. Nasema hivyo kwakua Spurs ana game na Fulham na Palace halafu Villa ana game na Sheffield kisha Wolves. Halafu Arsenal tuna game na Burnley kisha Spurs. (Katikati kuna Olympiacos)

Unaona Spurs au Villa wakipoteza game ipi kati ya mbili zifuatazo? Sisi je?

Unaionaje hiyo nafasi ya 10 inavyotung'ang'ania? Mwezi nyuma hesabu zilikua zinaonyesha tunahitaji kushinda games 3 mfululizo ili kuingia top 4 leo hesabu zinaonyesha inatakiwa ushinde games 3 mfululizo huku ukiombea walio juu yako wapoteze.

Ama la tutumie shortcut ya Europa. Ambayo ni ngumu, last season tulipitia shortcut ya FA ila saa hii hatupo FA so nafasi pekee tuliyonayo ya kuhakikisha tunakuwemo kwenye mashindano ya Ulaya ni ushindi wa bandika bandua kwenye ligi au kombe la Europa.

Sema mwenyewe kipi kinawezekana kati ya hivyo viwili?

Niliwaambia wakimbia uzi waendelee kujificha wasirudi angalau baada ya games 6 ila imezidi kua ishu now kimbieni msirudi hadi msimu uishe.

Kazi kwake Arteta.
VILLA KAPIGWA NA SHEFFLIED
 
Arteta bado anajifunza, arsenal walikosea sana kumchukua huyo jamaa!
ARTETA NDIYE KOCHA SAHIHI WA KUIFIKISHA ARSENAL SEHEMU SAHIHI

Bodi ilishaamua hata fukuzwa, labda itokee timu ifikie kiwango kama cha unai emery, timu ilifikia hata kufanya buildup haiwezi....
Binafsi najivunia kuwa na kocha kama ARTETA...ana mbinu nyingi...ambazo zinahitaji muda na wachezaji aina anayoitaka .
Pep Guardiola alisema BODI ya arsenal itafanya kosa kubwa sana wakija kumfukuza Arteta ...
FERGUSON..alichukua misimu minne akikoswakoswa kufukuzwa kabla ya kuanza kuipa mafanikio man u...Pep alihitaji mwaka 1, Klopp alihitaji miaka mi 3

Arteta ameshatengeneza MFUMO sahihi wa KUKABA, KUSHAMBULIA, wote tunakumbuka timu ilikuwa na beki nzuri ila haitengenezi nafasi... tumetoka huko sasa...
Kilichobaki sasa, ni kuyatumia vizuri madirisha ya usajiri kwa kusajiri wachezaji sahihi wanaoingia kwenye mifumo iliyowekwa,

Wanaolalamika kila siku hawajui hii timu ARTETA kaichukua
newFile-6.jpg
kwa UNAI EMERY ikiwa haiwezi hata kufanya buildup, haiwezi hata kushinda away, ilifikia hiyo hatua.....
Leo tunaona wachezaji walewale wanaanzia mpira nyuma na wanakwenda mbele, wanazuia kwa mfumo sahihi, makosa ya kukosa wachezaji QUALITY , yatatibiwa na usajiri sahihi, mfano mtu kama CEBALLOS, BELLERIN na baadhi yao kwa ARTETA wanaonekana kukosa kile anachokihitaji .

Mfano mechi V/S man city, tulicheza vzr tukazidiwa kwenye quality, lkn binafsi nilifarijika na timu ilivyochez nikaamini LEICESTER atakula kipigo iwapo Tutacheza kama dhidi ya city.....
Lakini kuhusu kocha binafsi huyu ndiye Atakayetufikisha mahala sahihi,

UNAYEWAZA BODI IMTIMUE ARTETA, UTAKAWIA SANA, TIMU INAMAENDELEO MAKUBWA KULIKO ALIPOIKUTA,
ARTETA anahitaji madirisha kadhaa ya usajiri.... ndio kwanza amepata dirisha moja kubwa la usajiri na madirisha madogo mawili, huku moja ni pale alipopewa timu tu.
 
Arteta on whether he could join Barcelona one day:

'Today and tomorrow, I am the manager of Arsenal Football Club, and I'm really enjoying it. I want to do much better than what we've done.'

ErTU62hW4AIftBF.jpg
 
Arsenal league stats this season without a creative midfielder (Pre-Christmas) VS with a creative midfielder (Post-Christmas) Huge improvement.

EvlORFnVoAEhETQ.png
 
Nafikiri kinachopaswa kutusukuma kwa sasa ni kuwa ni lazima tushinde kila mechi inayofuata. Hatuna namna nyingine.
 
Arteta ikiwa anaweza kujiunga na Barcelona siku moja:

'Leo na kesho, mimi ndiye meneja wa Klabu ya Soka ya Arsenal, na ninafurahia sana. Nataka kufanya vizuri zaidi kuliko yale tuliyoyafanya. '
May be a black-and-white image of 1 person

Arsenal imeanza mapema kutaka kukamilisha usajili wa beki wa kulia wa Brighton Albion Tariq lamptey ambaye ada yake imetajwa kuwa in £25m

Hii inaonesha huenda msimu ujao hatutakuwa na hector belerin ambaye klabu ya PSG wanahusishwa naye

May be an image of 1 person and text that says 'AFTU TARIQ LAMPTEY T100m MARKET VALUE £25m AMERICAN EXPRESS AGE 20 BRIGHTON HOVE ALBION Arsenal >>> た RUMOUR'

Arsenal imeanza mapema kutaka kukamilisha usajili wa beki wa kulia wa Brighton Albion Tariq lamptey ambaye ada yake imetajwa kuwa in £25m

Hii inaonesha huenda msimu ujao hatutakuwa na hector belerin ambaye klabu ya PSG wanahusishwa naye

May be an image of 1 person and text that says 'AFTU TARIQ LAMPTEY T100m MARKET VALUE £25m AMERICAN EXPRESS AGE 20 BRIGHTON HOVE ALBION Arsenal >>> た RUMOUR''AFTU TARIQ LAMPTEY T100m MARKET VALUE £25m AMERICAN EXPRESS AGE 20 BRIGHTON HOVE ALBION Arsenal >>> た RUMOUR'
Itakuwa Cedric na huyu kijana RB?
 
Transfer expert Fabrizio Romano claims the Gunners have their eyes on Brighton right-back Lamptey as they eye possible replacements for Bellerin.

“For sure, next summer, can happen something big for him," Romano said on the Here We Go Podcast.

“Arsenal are looking at him as possible option at right-back. Keep an eye on Arsenal because they are among the clubs interested in Lamptey.”
 
Martin Ødegaard ataongea uso kwa uso na kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane kujua kama bado yupo katika mipango yao ya msimu ujao. Ødegaard bado anataka kuendelea kubaki Arsenal na kwa msimu ujao japo Madrid hawataki kumuuza.

#coyg 🔴 ⚪
 
Transfer expert Fabrizio Romano claims the Gunners have their eyes on Brighton right-back Lamptey as they eye possible replacements for Bellerin.

“For sure, next summer, can happen something big for him," Romano said on the Here We Go Podcast.

“Arsenal are looking at him as possible option at right-back. Keep an eye on Arsenal because they are among the clubs interested in Lamptey.”
Kwa mujibu wa Goal.com huyu kijana ni matata na Chelsea wanajutia kumpoteza. Wanadhani manager wa England anaanza kumzingatia kumuita timu ya taifa. Kwa hivyo anaweza kuwa ghali tukashindwa kumpata.
 
ugumu upo kwenye kushinda mechi kadhaa mfululizo. hiki kitu kinatugharimu sana. tumepoteza michezo mingi mno pia na kuna uwezekano wa kupoteza michezo mingine mbeleni
Hilo ndilo tatizo linalotukabili kwa sasa!!
 
Tumebakisha games 12 ili msimu uishe muda huu tupo nafasi ya 10 na points 37 walio juu yetu ni Villa na spurs, wana points 39.

Tukishinda game ya Jmosi tutapanda mpaka nafasi ya 8 kisha tutarudi tena nafasi ya 10. Nasema hivyo kwakua Spurs ana game na Fulham na Palace halafu Villa ana game na Sheffield kisha Wolves. Halafu Arsenal tuna game na Burnley kisha Spurs. (Katikati kuna Olympiacos)

Unaona Spurs au Villa wakipoteza game ipi kati ya mbili zifuatazo? Sisi je?

Unaionaje hiyo nafasi ya 10 inavyotung'ang'ania? Mwezi nyuma hesabu zilikua zinaonyesha tunahitaji kushinda games 3 mfululizo ili kuingia top 4 leo hesabu zinaonyesha inatakiwa ushinde games 3 mfululizo huku ukiombea walio juu yako wapoteze.

Ama la tutumie shortcut ya Europa. Ambayo ni ngumu, last season tulipitia shortcut ya FA ila saa hii hatupo FA so nafasi pekee tuliyonayo ya kuhakikisha tunakuwemo kwenye mashindano ya Ulaya ni ushindi wa bandika bandua kwenye ligi au kombe la Europa.

Sema mwenyewe kipi kinawezekana kati ya hivyo viwili?

Niliwaambia wakimbia uzi waendelee kujificha wasirudi angalau baada ya games 6 ila imezidi kua ishu now kimbieni msirudi hadi msimu uishe.

Kazi kwake Arteta.
Katika gemu hizi 12 tulizobakisha Arsenal wakikaza angalau gemu 8 tushinde na kudroo ama kupoteza kati ya hizo 4 mechi zilizobaki nakuhakikishia tano bora tumo!!
Wachezaji wakiamua na sisi kuwaombea dua asitokee majeruhi hata mmoja.
Arsenal tutakuwa juu na mashindano yajao ya kimataifa kama kawa tunawakilisha bendera kwa Uingereza.

Always London is red!!
 
Arsenal imeanza mapema kutaka kukamilisha usajili wa beki wa kulia wa Brighton Albion Tariq lamptey ambaye ada yake imetajwa kuwa in £25m

Hii inaonesha huenda msimu ujao hatutakuwa na hector belerin ambaye klabu ya PSG wanahusishwa naye

May be an image of 1 person and text that says 'AFTU TARIQ LAMPTEY T100m MARKET VALUE £25m AMERICAN EXPRESS AGE 20 BRIGHTON HOVE ALBION Arsenal >>> た RUMOUR''AFTU TARIQ LAMPTEY T100m MARKET VALUE £25m AMERICAN EXPRESS AGE 20 BRIGHTON HOVE ALBION Arsenal >>> た RUMOUR'

Huyu dogo tukimpata itakuwa poa tuombee Belerin aondoke msimu ujao tujenge timu moto ya misimu minane ijao tukimbize mchakamchaka vijeba vya juu!!
 
Back
Top Bottom