Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa neema za mwenyezimungu tumeshinda! Furaha ambayo ninayohapa mungu ndiye anajua.
Hakika tulistahili ushingi na leo mungu alikuwa upande wetu. Kama ni kutufunga na kututoa basi
ni bora wakatutolee huko kwao Spain lakini si our home london. Shame on u Barcelona.
Jamani hakuna vitu ninavyovichukia hapa duniani kama Manchester united,Barcelona, na CCM.
 



Mkuu baada ya RVP kuweka chuma ilikuwa burudani tupu ... ..... nilimwalika Peasant akagwaya offer yeye anapenda kuangalia mpira kwenye cow shed lakini najua alikuwa anauangalia kwa karibu kwenye box ... ... ...
 
hawa mbuzi safari imefikia mwisho kule kwa barca watapigwa saba!
 
yan ninafuhara utazan cjui leo bongo kama hakuna tatzo lililotoke kwanza polen sana wale walioadhilika na MABOMU GONGO LA MBOTO na wale walio kuwa wanaiombea vibaya THE GUNNERSS mana nao ni waadhilika vile vile
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa




Wanga wakachome tunguli zao. Chama kubwa hili na kwa budget ndogo tu.
 

Usikufuru Mungu! uwe na adabu hao barca ni miungu wa soka
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa




Wanga wakachome tunguli zao. Chama kubwa hili na kwa budget ndogo tu.

umeonaeeeeee..... Cc ha2sajil bal 2nauza na 2nashnda vle vleeee poleen mnao nunua alafu mnafungwa vle vlee
 
Watani hongereni.

Karibu sana kama ulivyoona soka lilivyochezwa sio butua butua.

Haya ndugu zangu watani, AW, Mbu, Mbu, Quest, Blntd, Michelle, Kweli, Wacha1 et al.....hongereni kwa ushindi mwembamba. Mnastaili pongeza za dhati kwa kweli.
Alamsiki. :clap2::clap2::clap2: Gunnaz..

Unafiki mbaya mkuu kuwa sasa ... ..

Vipi..tuwape Gary Neville anawasaidie?, naona Platoon yte imehamia kwake..Lol!
View attachment 23312

Hiyo mizoga yenu hatuihitaji khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

hahahahaha Mbuzi auma mbwa!

Vipi Bundi kaondoka kwenye makuti? kwa taarifa yako tu tangu tulipowachabanga pale emirates hatujapoteza nechi yoyote ile sijui unakumbuka ni lini naweza kukusaidia kidogo ilikuwa nwaka jana.

Haya mambo yamekuwa mambo hongereni....

Kama kawa .... .. natumaini ume-enjoy game ingawaje furaha yako imekuwa fupi.

RVPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPP...HOW did he manage that?????????

He is a special player ... .... ... on the tightest angle golikipa alitegemea pasi kwenda kwa bendtber it was an absolute craker .... ...

Hahahahaah! wapi asenooo!

Vipi ulikuwa huwaoni khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

VIVA ARSENAL,VIVA ARSENAL......ooooooooooooo YES WE CAN, haters go hang yourself!!!!

Na bado mwaka huu mambo yanakwenda mswano 2011 vijana wamekangamaa


Jamani wote mmepotea, kulikoni. Au mzee wa binduki kachapwa

On your dreams mate .... .....

Mkuu nitakuwa na furaha hawa jamaa wakifungwa zaidi ya moja!

Kwani si umeona mambo vipi yule Bundi pale darajani ataondoka lini mmalize matanga khe khe kheeeeeeeeeeeee


... .... ...khe khe kheeeeeeeeeeeeeee Manda world . ..... mkuu leo ni halftime tu na bado hujaona kitu subiri Nou Camp ndipo utakapojua Gunners ni kina nani? Khe khe kheeeeeeeeeeee


Arsenal 1 Barca 0

khe khe kheeeeeeeeeeeee

Umesahau kuwa Arsenal kwenye competition zote wanapewaga penalty wakiwa kwenye dire situations...?

Umeiona penalty ya RVP khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

CL last 5 games za Emirata mmeshinda pen. Leo sitoshangaa....

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aibu kwa shabiki wa manure khe khe kheeeeeeeeeeeee

Huyu mganga wa Arsenal mzuri kweli kweli hehehe ball possession 67% to Arsenal's 33% ngoma bado 1 - 0.

Mpira magoli kaka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeechacha katafute starts za mwisho khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

sAY IT again babu! 2-0

khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

There are currently 18 users browsing this thread. (8 members and 10 guests)

Wacha1 umesahau PASSWORD?, Mods Plzzzzzz..hepl this Fella...

Mkuu mechi kama hizi huwa tuanaangalia Live sio kusimuliwa au kwenye box .... ..... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeee two great teams ambazo zinacheza soka la uhakika huwa hatutaki kumisi kitu khe khe kheeeeeeeeee eee

Half time

Arsenal 1 Barca 0

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

Aisee Baba Mchungaji achana na huyu mke wa Katekista..iko saidia mm tafuta mtu itwa Wacha1..sijui iko potelea wapi.

Really pole sana mkuu -- Gunners boys waitakuua mwaka huu kwa pressure. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

Gunners have been awarded a penalty in their last five Champions League matches at home.

MSIJALI..THE GOAL IS COMING..ZILE KHAKI ENVELOPE ZA WACHA1 PROFESA HUWA ANAZITOA, SEMA KATIKA 'MIKATABA' MINGINE...

Manda chichi huwa hatuna tabia kama hiyo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
Hata mkiambulia draw leo, lakini kiama chenu ndio hii round of 16.

Thanks buddy khe khe kheeeeeeeeeeeeee

Barcelona have completed 170 more passes (328) than Arsenal (158) in the first half.

Ohhh kumbe tatizo sio pitch wala Refa......

Ooohhhhhhyer khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

nyumba imeuungua...........:clap2:

Pale Darajani hizo taarifa kampe Abraham O Vich .... ... khe khe kheeeeeeeeeeeee

Masa is watching from the distance......Michelle I am tempted to cheat with you unasemaje?

Ndio tabia yako ya kimafia mafia khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
Nasri anacheza aikaido

Naona hukuona pasi aliyotoa kwa arshavin khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

Bado tatu jamani endeleeni kuzisubiri!

Kweli ulipatia jumla ya magoli khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mkuu mumeanza kukimbiza mapema ndugu naona goli 3 kwa moja! defense ya barca iko porous mnaweza funga akiingia yule Arshavin

Vipi matokeo? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nina diploma ya mambo fulani.....lets cheat ila usimwambie mtu! Love love you I hate aRSENAL

Messi funga hao wolves


Wolves walikutoa kamasi ndio sababu hutawasahau khe khe kheeeeeeeeeeeee

Song anacheza judo!

Baada ya kumuweka sawa Lamps and co lazima umuhare khe khe kheeeeeeeeeeee


Mkuu naona vidonge ambavyo nakupa vinafanya kazi khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
Ooohhh Messi in you we trust!

Endelea ku-watrust tu chichi tunaweka magoli khe khe kheeeeeeeeeeeeee

Phew .... ... Thats a lotta bana dawa ninazowapa wanoko zinafanya kazi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

kama kawa picha zote zipo hapa https://www.jamiiforums.com/sports-...l-new-era-at-the-emirates-22.html#post1631401
 

With all these???????...... I missed u man......................hahahahahahaaaaaaaaaa
 
Clichy is the architect with a lovely dink over the defence for ROBIN VAN PERSIE. He's near the left byline but with everyone, most pertinently Victor Valdes, expecting a cross the Dutchman drills to the near post and the keeper is beaten. Boy, did they need that.

So a moment of invention, the kind of which Barcelona display in their sleep, drags Arsenal back into this tie. The momentum is with them and a second goal would lift the roof off this place.

Oh what a goal that is!! A moment to savour at the Emirates as ANDREI ARSHAVIN alias from Russia with love gives Arsenal the lead. Absolutely magical move as well; Nasri hares down the right from a Fabregas pass, stops, looks up, sees the Russian floating on the opposite side of the box, and rolls a pass which Arshavin gleefully bends into the corner. It seemed to take an age to reach Arshavin but he picked his spot with aplomb. Spine-tingling goal.(game commentary)

A famous, famous night for Arsenal Football Club and a monumental victory. What a night! People the game of soccer is 90 minutes and not 26 minutes Ha ha ha ha ha ha I am so happy and let’s hope that we can repeat the same performance on March 8th, 2011....A night to remember.
 
Hongereni sana Fat Arses, naona Robin Van Pussy kawatoa jana!
 
what a waste ? a beautiful lady to be on loosers side? Fat arse anal are simply wankers in soccer

...naam, tena 'self pleasuring' kwa picha za 'mrembo' huyu!





Wapi AW.......


...manda bana, ulijifanya hukunisoma hapa
:coffee:...time for popcorn, huku niki enjoy "kabumbu/soka/ndinga/..." you name it...!


tupo pamoja...!



au sio?





Hamjawahi kuona comeback.......Sasa angalieni kipindi cha pili.........



...Questt, hawakukusoma wala kukuelewa hawa!...





Sasa wavimba macho mnasemaje????? Niliwaambia kuwa hamjawahi kuona comeback.....Nadahani mmeiona na keyboard zenu zitakua zimetulia now...esp. MASA...................



...waseme nini ilhali wote waliingia mitini? unafanya mchezo na 'ukweli' unapodhihiri?



 
Mkipita nyie; humu ndani patakuwa hapatoshi JF....ni mna kelele nyie sijapata ona.....

Ikipita Barca najua ile ndoo lazima wabebe msimu huu wale wahuni...na mm sitaki hata kuwasikia..

Ata sijui niwe upande gani sasa......

Msaada tutani.
 
Mkipita nyie; humu ndani patakuwa hapatoshi JF....ni mna kelele nyie sijapata ona.....

Ikipita Barca najua ile ndoo lazima wabebe msimu huu wale wahuni...na mm sitaki hata kuwasikia..

Ata sijui niwe upande gani sasa......

Msaada tutani.

...ha ha ha, football is a beautiful game,....



...ukiwa tayari nitumie details, p & p (packing & postage) zote ni kwa gharama zangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…