Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumesgapigwa...still naona BOYZ wamelooz Calmness.....furthermore kuna YELLOW 2....Things can change here.........But wakitulia na kucheza mpira tunaweza kupata chochote...RVP kawaste bonge ya chance,,,,Nafasi kama hizi huwa haziji mara nyingi.....we r not playing against Wolves here.....Kila chance yatakiwa kutumika effectively.....
 
Nipo mzee wa Keta Keta..............Sishangai maana ukiangalia post angu kuna sehemu nimeandika tunafungwa muda si mrefu na kweli yametimia.....Tunaweza fungwa 2-0 ama 2-1

Mkuu mumeanza kukimbiza mapema ndugu naona goli 3 kwa moja! defense ya barca iko porous mnaweza funga akiingia yule Arshavin
 
Laaaa piiiilii...ohh no.Kumbe Offside....leo mna Kimeo hapa
 
Haya wakuu mie nawakimbia leo ratiba zimeingiliana.Tutakuwa pamoja mechi ya marudiano.


Kila la kheri gunners wenzangu tuko pamoja.
 
Moves nyingi sana zinatokea upande wa CLICHY........Leo dogo anavuja sana....na Nasri hana msaada kama anaotoa Walcott kwa EBOUE....
 
Nina diploma ya mambo fulani.....lets cheat ila usimwambie mtu! Love love you I hate aRSENAL

Aisee Baba Mchungaji achana na huyu mke wa Katekista..iko saidia mm tafuta mtu itwa Wacha1..sijui iko potelea wapi.
 
Back
Top Bottom