Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Van Persie anapiga kashuti ka mtoto..........................lol
jamani mie narikava na mabomu.... ngapi-ngapi?
Messi bana......:laugh::laugh: bora Villa katoka.....Arshavin in....good!!
jamani mie narikava na mabomu.... ngapi-ngapi?
Umesahau kuwa Arsenal kwenye competition zote wanapewaga penalty wakiwa kwenye dire situations...?Tupewe penalty kwani sisi Mashetani?????..............................
Barca 1, Arsenal ndo tunakaribia kupata goli ....l.o.l
Tupewe penalty kwani sisi Mashetani?????..............................
Umesahau kuwa Arsenal kwenye competition zote wanapewaga penalty wakiwa kwenye dire situations...?
Umesahau kuwa Arsenal kwenye competition zote wanapewaga penalty wakiwa kwenye dire situations...?
Duh kumbe bado upo online...?RVPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPP...HOW did he manage that?????????
hahahahaha Mbuzi auma mbwa!
Haya mambo yamekuwa mambo hongereni....