usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,092
Arsenal VS OlympiacosIt's ArsenaL vs Rangers
Arsenal VS OlympiacosIt's ArsenaL vs Rangers
Yesa arteta anakutana na wagirikiImetoka draw?
Walitutoa raundi ya 32 msimu uliopitaYesa arteta anakutana na wagiriki
Olympiacos
Hapa namuwekea mzigo kocha. Kuna kazi ya ziada anahitaji kufanya kuwahamasisha wachezaji na kuwafanya waone umuhimu wa kupambania ushindi. Pia aongeze ukaribu na kuwapa moyo wachezaji kama Martinelli, Nelson, Pepe na Auba. Hawa wachezaji wakiwa katika form hakuna beki pinzani atakaepanda mbele.Guardiola anasema katika games nyingi Arsenal ilizocheza ilionyesha kujielewa kimbinu kuwa tishio kwa wapinzani wao, hili alilisems ile siku wanatufunga moja bila. Alichoongea ni ukweli takwimu hua zinaonyesha katika games nyingi tulizofungwa we had the uppper hand muda mwingi wa mchezo.
Hua sizikubali takwimu wakati mwingine. Takwimu ndiyo zinasababisha uone Willian akiingia kila sub ya forward inapohitajika, hua ana workrate kubwa kuliko wachezaji wetu wengi.
Now kama takwimu zinatuonyesha hivyo nini kinatufelisha? Mimi nasema ni mentality, board, forwards na beki. Hizi zimetukost katika gemu nyingi tulizofungwa, Holding na Mari, Holding na Gabriel nice duo kwa kweli.
Inasemwa kwamba Luiz anapata namba kwakua ni mzoefu na kiongozi. Kuna tetesi za kumuongezea mkataba, am saying fvck this huyu jamaa asiongezewe mkataba huduma aliyotugea inatosha. Tunatakiwa kukata njia mpya kabisa with our youngsters watakaotufikisha zaidi ya tulipo.
Kesho game na Leicester. Naona wazi tuna kikosi cha kuwazuia Leicester, Partey is back na hatuna majeruhi wa kutufikirisha zaidi ya Runarrson ambaye pengo lake linazibwa easily na Ryan so we are good. Leicester watawakosa wachezaji zaidi ya 5 miongoni mwao ni Maddison ambaye anaweza akawepo au asiwepo.
Squad wise we are good ishu inabaki kwenye intensity na kua wakali langoni.
Sometime unaangalia game unaona Pepe ana mpira kisha unaona mchezaji anafanya run lakini kumpelekea mpira anasua sua.Hapa namuwekea mzigo kocha. Kuna kazi ya ziada anahitaji kufanya kuwahamasisha wachezaji na kuwafanya waone umuhimu wa kupambania ushindi. Pia aongeze ukaribu na kuwapa moyo wachezaji kama Martinelli, Nelson, Pepe na Auba. Hawa wachezaji wakiwa katika form hakuna beki pinzani atakaepanda mbele.
Daah!.. Mimi huwa nikiona mechi anacheza Luiz huwa nakosa amani kabisa!.. Combination nzuri ni ya Mari na Holding... Halafu huyu willian angekuwa mbongo tungesema anatumia mzizi!.. Kiukweli Pepe yupo on fire sasa hivi.. Ni kweli Willian ana work rate kubwa lakini ana assist moja na sikumbuki kama alishawahi kuscore!. Sasa unamuachaje nje Pepe ambaye anascore sasa hivi na anatoa assist? Kuna game moja pepe alicheza kama number 10, kusema kweli siku hiyo niliona kacheza vizuri tokea nimfahamu maana japo hakuscore lakini alipiga mipira mingi ya hatari.. Yote kwa yote tupo pamoja na timu yetu.. Mimi kusema kweli namuamini sana Arteta, naamini tukiwa watulivu na kumpa muda atatupa vikombe vya kutosha siku za mbeleniGuardiola anasema katika games nyingi Arsenal ilizocheza ilionyesha kujielewa kimbinu kuwa tishio kwa wapinzani wao, hili alilisems ile siku wanatufunga moja bila. Alichoongea ni ukweli takwimu hua zinaonyesha katika games nyingi tulizofungwa we had the uppper hand muda mwingi wa mchezo.
Hua sizikubali takwimu wakati mwingine. Takwimu ndiyo zinasababisha uone Willian akiingia kila sub ya forward inapohitajika, hua ana workrate kubwa kuliko wachezaji wetu wengi.
Now kama takwimu zinatuonyesha hivyo nini kinatufelisha? Mimi nasema ni mentality, board, forwards na beki. Hizi zimetukost katika gemu nyingi tulizofungwa, Holding na Mari, Holding na Gabriel nice duo kwa kweli.
Inasemwa kwamba Luiz anapata namba kwakua ni mzoefu na kiongozi. Kuna tetesi za kumuongezea mkataba, am saying fvck this huyu jamaa asiongezewe mkataba huduma aliyotugea inatosha. Tunatakiwa kukata njia mpya kabisa with our youngsters watakaotufikisha zaidi ya tulipo.
Kesho game na Leicester. Naona wazi tuna kikosi cha kuwazuia Leicester, Partey is back na hatuna majeruhi wa kutufikirisha zaidi ya Runarrson ambaye pengo lake linazibwa easily na Ryan so we are good. Leicester watawakosa wachezaji zaidi ya 5 miongoni mwao ni Maddison ambaye anaweza akawepo au asiwepo.
Squad wise we are good ishu inabaki kwenye intensity na kua wakali langoni.
Sikumuelewa kabisa huyu refa.Najua sio mahali pale, naangalia mechi ya WBA vs BHA, refa ni Lee Mason, anatoa free kick kwa WBA, kabla hajapuliza filimbi ya kupiga free kick mchezaji wa wba anapiga mpira na kufunga goli. Lee Mason anaonekana kuchanganyikiwa, anakataa goli baadae anakubali goli kabla VAR haijaingilia kati, na kuamuru a goal be disallowed and a free kick retaken. Waamuzi wa EPL inabidi wawe evaluated tena.
Nadhani atafungiwa for some matches.
Dermott Callagher, anasema ref lacked focus, alipuliza filimbi ya kuruhusu mpira kupiga, wakati mpira unapigwa ref akaona kipa bado anapanga timu, ref akapuliza filimbi nyingine wakati kitu kimeishatikisa Nyama.
Mimi sina wasiwasi na kocha kimbinu wasiwasi wangu kwake ni namna yake ya kulea mentality ya timu.Daah!.. Mimi huwa nikiona mechi anacheza Luiz huwa nakosa amani kabisa!.. Combination nzuri ni ya Mari na Holding... Halafu huyu willian angekuwa mbongo tungesema anatumia mzizi!.. Kiukweli Pepe yupo on fire sasa hivi.. Ni kweli Willian ana work rate kubwa lakini ana assist moja na sikumbuki kama alishawahi kuscore!. Sasa unamuachaje nje Pepe ambaye anascore sasa hivi na anatoa assist? Kuna game moja pepe alicheza kama number 10, kusema kweli siku hiyo niliona kacheza vizuri tokea nimfahamu maana japo hakuscore lakini alipiga mipira mingi ya hatari.. Yote kwa yote tupo pamoja na timu yetu.. Mimi kusema kweli namuamini sana Arteta, naamini tukiwa watulivu na kumpa muda atatupa vikombe vya kutosha siku za mbeleni
Tulieni ni maombi yangu ya mkeka hayo yanapiga kaziNajua sio mahali pale, naangalia mechi ya WBA vs BHA, refa ni Lee Mason, anatoa free kick kwa WBA, kabla hajapuliza filimbi ya kupiga free kick mchezaji wa wba anapiga mpira na kufunga goli. Lee Mason anaonekana kuchanganyikiwa, anakataa goli baadae anakubali goli kabla VAR haijaingilia kati, na kuamuru a goal be disallowed and a free kick retaken. Waamuzi wa EPL inabidi wawe evaluated tena.
Nadhani atafungiwa for some matches.
Dermott Callagher, anasema ref lacked focus, alipuliza filimbi ya kuruhusu mpira kupigwa, wakati mpira unapigwa ref akaona kipa bado anapanga timu, ref akapuliza filimbi nyingine wakati kitu kimeishatikisa nyavu.
Unachekesha. Kesho mnapigwa goli kuanzia 3.Kwa jinsi siipendi hichi kikundi cha ngoma za jadi ntafurahi kesho mkifungwa
Labda hy mechi ichezwe chumbani kwakoUnachekesha. Kesho mnapigwa goli kuanzia 3.
Siku nyingine mkiwa mnabakwa tatu tatu hua mechi zinachezwa chumbani kwangu au siyo?Labda hy mechi ichezwe chumbani kwako
Hua tunawaachia ili mpande juu kidogo, c unaona mlivokuwa kuwa sawa na Chelsea mlifurah utadhani mmebeba kombeSiku nyingine mkiwa mnabakwa tatu tatu hua mechi zinachezwa chumbani kwangu au siyo?
Kila siku nawaambia chelsea na Arsenal hawana uhasama. Arsenal ina uhasama na Tottenham, tafuta mchezaji ambaye amewahi kutoka Tottenham halafu akasajiliwa Arsenal.Hua tunawaachia ili mpande juu kidogo, c unaona mlivokuwa kuwa sawa na Chelsea mlifurah utadhani mmebeba kombe