OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Haya matakataka msimu ujao hata Europa hayatocheza.Kwa jinsi siipendi hichi kikundi cha ngoma za jadi ntafurahi kesho mkifungwa
Haya matakataka msimu ujao hata Europa hayatocheza.Kwa jinsi siipendi hichi kikundi cha ngoma za jadi ntafurahi kesho mkifungwa
Hahaha kama wewe leo utakavyofungwa hahahaMukiwafunga Leicester city nitawakubali.
Ila mulivyo wapuuzi mutafungwa.
Kwa jinsi siipendi hichi kikundi cha ngoma za jadi ntafurahi kesho mkifungwa
Baada ya mechi kuisha ndo utajuaRubbish, kwani kutokipenda kuna kipunguzia nini?
Ngoja nimalizie kinywaji changu nisongee pub fulani, leo naangalizia pub kwa sababu nina uhakika wa ushindiBaada ya mechi kuisha ndo utajua
Utaielewa hiyo pindi fundi Vady atakapo tupia wavuni.Hii lineup mbona sijaielewa? Au anataka wapinzani wakichoka ndio aingize wakali wake?
Utaielewa hiyo pindi fundi Vady atakapo tupia wavuni.
Leo mujitahidi angalau mupate sare.
Biashara asubuhiHii lineup mbona sijaielewa? Au anataka wapinzani wakichoka ndio aingize wakali wake?