Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kiasi Fulani
Kila mtu alifikiri tutaoga migoli. Haijawa hivyo, tulitarajiwa kupaki basi haijawa hivyo.

Defense ya Arsenal kwenye Fifa 20 na 21 iko kwenye 78. Next year natarajia overall iongezeke zaidi ya hapa.

Tumecheza vizuri.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ukiwa nafasi ya pili kwenye ligi unapata nini?
 
 

Attachments

  • Screenshot_20210221-132322_1613941313647.jpg
    49.7 KB · Views: 15
  • Screenshot_20210221-132322_1613941313647.jpg
    49.7 KB · Views: 11
  • Screenshot_20210221-132355_1613941339172.jpg
    46.3 KB · Views: 13
Umeongea point kubwa
 
Mzaha wa ngumi huu!
 
Sawa mkuu hahahahaha
 
Licha ya kupambana but sadly we lost the match. Tumepoteza dhidi ya timu bora ya City.

Bado tunajenga timu, hizi ups and down hazikwepeki.
Believe me, tunakwenda pazuri na kurejesha heshima yetu iliyopotea.

COYG's πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…