OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Au popo kanyea mbinguNaombeni wakati wa kubanduliwa mchague style ya mauno feni





Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Au popo kanyea mbinguNaombeni wakati wa kubanduliwa mchague style ya mauno feni





Mnajua kujifarijiJana Everton alikua na odds 7 na wameshinda sisi odds 6+ tutarajie ushindi? Siyo kwa kiwango hicho Carlo ni experienced kocha kuliko Arteta recently amekua akibadilisha formation mid game na inampa matunda.
Game na Man U alianza na 4 3 1 2. Baada ya break akamaliza na 4 2 3 1 akasawazisha goli maisha yakaenda. Jana alianza na 5 3 2 baada ya break akamaliza na 4 2 3 1 akajiondokea na ushindi.
Wakati mwingine inabidi kumuamini kocha kuliko hata wachezaji. Mashabiki wa Spurs na Chelsea ndicho wanachofanya siku hizi.
Juzi nilisema kuna wachezaji baada ya style mpya za nywele na kiwango kikapotelea huko, Sterling alikua anafuga dread game ya juzi nikaona kaondoa sijui bleach ya Gabriel inasubiri nini.
Bado hatupo favored kushinda. Historically City hajawahi kua kibonde wetu in such hata enzi za udhamini wao wa Thomas cook haikua timu ambayo tuna uhakika wa kuipiga kila tunapojisikia. Katika kukutana nao wao ndiyo wamepata ushindi mkubwa.
Washawahi kutupiga 6 kwa 3. Isipokua sisi tushawahi kuwapiga 5 mara mbili. Kwa City hata historia haitubebi kinachotubeba ni maneno ya kocha kwamba "Arsenal tulipofikia tunaweza kuifunga timu yoyote lakini na sisi tunaweza kufungwa na timu yoyote"
Hivyo basi kama Spurs, Chelsea na Everton inabidi tumuamini kocha kuliko wachezaji.
Naskia hy style inaumiza, sa cjui wataweza kuvumilia.!
UsikasirikeMnajua kujifariji
Kumbe inauma? Sasa mbona ndiyo mnaipenda kupigiwa nayo mabao?Naskia hy style inaumiza, sa cjui wataweza kuvumilia.!
Wakati wa mabao ndo utajua hujuiKumbe inauma? Sasa mbona ndiyo mnaipenda kupigiwa nayo mabao?
Wanawania kutoshuka daraja.Hivii hii team inajua ata inachowania?
Kwani wewe ushapigwa mangapi?Wakati wa mabao ndo utajua hujui
Nmetoa draw janaKwani wewe ushapigwa mangapi?
Sisi kama man u😂😂Nawatakieni ushindi wa kishindo.
Kwa penaltyNmetoa draw jana
Msijali.Sisi kama man u😂😂
Maisha hayaa hayatabiriki. Leo hii tunamtakia arsenal ushindi😂😂🙌
Bc wasicheze rafu ili tushinde bila penaltiKwa penalty
Arsenal kwasasa hana sumu, hata akishinda haishtui sababu hana anacho gombea.Sisi kama man u
Maisha hayaa hayatabiriki. Leo hii tunamtakia arsenal ushindi![]()
Liverpool kambwela Hotspurs kambwela, leo nakutegemea wewe.Msijali.