Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leno on why our defence is doing so well: "I think our mentality. Because everybody is defending, even the striker is sometimes defending in the box & then you can see the difference. It is much harder to score goals against us & even to create clear chances" #Arsenal


Image
 
Tuliwakosa Saka Tierney lakini bado naona Tim ilikua sawa kwa upande wangu
Tim ilitengeneza nafasi za kutosha na mashambuliz yalikua mengi kwenye lango la man u
Laca akagongesha mwamba, pepe akwakosa Mara mbili, Smith Rowe shuti lake Kali likapanguliwa na de gea, wilian akakosa nafas ya wazi kabisa
Kilichotunyima ushindi ni bahati tu lakini Tim ilikua imara na ilitengeneza nafasi za kutosha tu
Nimependa combination ya Patey na Xhaka iko vzuri sana..wamepiga mpira mwingi na wanaonekana kuelewana zadi
Patey alikua anacheza Ila hakua fiti kwa asilimia Mia ndo Mana Kama alipoa flani ivi naona alikua anacheza kwa kuofia kutonesha maumivu ingawa alikua anaituliza Sana Tim yeye na Xhaka
Kama wasipopata majeraha Basi kiungo kitaendelea kuwa timamu zaidi..Xhaka Jana kapiga kazi ya kufa mtu
Nimependa Sana jins timu yetu inavyopambana kutafuta matokeo uwanjani kila mtu anafight anakimbia awezavyo
Kuna kitu naona kimewajia kichwani kuwa kufungwa hatustahili..all in all tujipange kwa next game
All the best our team
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd2%2F1.5%2F16%2F1f44a.png&hash=d4db10086651ebcc47c4a9c855ffb041" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />






Kiukweli mkuu Xhaka Jana kwa upande wangu ndio man of the match kwa Arsenal,nimekubali performance yake

Partey toka kaja anapata injury sn, sijajua record zake za nyuma kuhusu fitness ila inaonekana km timu inamlalia yaani majukumu yanamzidi kwenye tough match
 
Nyie MATAKATAKA kama MATAKATAKA naona kila jukwaa mnapita na kanga moja imelowa kushangilia suluhu ya jana.
 
Huyu van aanholt ni mtu, namkubali kitambo toka enzi za Nacho Monreal. Anamwaga majaro km KT,Yaani LB tutakua ni shida akitua huyu.
 
Huyu van aanholt ni mtu, namkubali kitambo toka enzi za Nacho Monreal. Anamwaga majaro km KT,Yaani LB tutakua ni shida akitua huyu.
Namkumbuka vizuri akiwa Sunderland iliyosheheni Sebastian Larsson, Fabio Borini, Manuel Giacherinni, Conor Wickham, Wes Brown na Lee Catermole.
 
NEW: Arsenal is considering a late move for Crystal Palace defender Patrick van Aanholt & PSG midfielder Idrissa Gueye. #afc [@SkySportsNews]
Kwa Idrissa Gueye sio nice move, yupo Ceballos na Elneny inatosha kabisa hata ikiamuliwa kutumia CMs 4 wapo.

Nadhani waangalie backup ya Striker ukiondoa Lacazette na Aubameyang hamna striker baki.
 
Jinga moja limefika hapa linakwambia tumekuja kwenu mmeshindwa kutufunga hata hajui ushindi wa kwanza tumeupata kwao hii ni second leg. These type of people ndiyo unakaa hapa wanakuquote wanaandika ujinga wao wanayeya.

Majinga mengine yapo radhi hata yaedit ulichoandika.

Ushauri: Ukitaka watu wasiku-quote usiandike kwenye open forum.
 
Back
Top Bottom