isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Sasa nani atachambua hapa?! Mimi natoka.Kwa hii suluhu ya kizembe najipiga ban kwa muda usiojulikana.
Sasa nani atachambua hapa?! Mimi natoka.Kwa hii suluhu ya kizembe najipiga ban kwa muda usiojulikana.
Hivi na huo urembo unashabikia loserfool kweli, umeniangusha...LFC
Wewe je?.
Eti haya mataka taka F.C yanataka ubingwa msimu huu! Kweli dunia haiishiwi vituko.Thank YOU Arsenal
Tunashukuru sana kupunguza kelele za hawa
Mbarikiwe
Hahahah Hv unalinganishaje Liver na ArsenalHivi na huo urembo unashabikia loserfool kweli, umeniangusha...
Careless red cards zimetucost sana msimu huu!Errors leading to goals by Arsenal per season:
14-15: 8
15-16: 5
16-17: 4
17-18: 15
18-19: 12
19-20: 5
20-21 so far: 0
Abscence of key players was a reason for a draw, nimesikiliza interview ya Arteta, inaonekana Auba yupo London muda ila yupo quarantinedWillian anampa nini Arteta?
Lacazette kapiga faulo ya kwanza imegonga mwamba kwanini ya pili na ya tatu wamepiga wengine?
Huu ujinga wa backpass alioingia nao Willian ulikua wa kazi gani? Timu inataka kushinda mpo 4 mbele mpira unarudi nyuma ili iweje?
Tumehitaji kupunguza gape la kuingia top four na hivi ndiyo kikosi kinacheza? A win today could have taken us to 7th position with assurance of making it to top 4. Hiki nini sasa?
Ujinga mtupu. Ni rekodi poa kwamba united hajawahi kutufunga tangu 2018 but itamatter nini kama tutakua nje kabisa ya 6.
Inapigwa faulo Luiz anaugonga unaenda nje anashangilia dafuq is that? Celebrating to concede a corner?
Emile ana option ya mtu kulia na kushoto kwake ila anaamua kumrudishia aliye nyuma yake.
Ujinga mnene sana leo. Fvcked up our chances kisha same player atagewa tena namba. Hao united hawana vision hawajui wana mpango gani na mwaka huu au ujao so kwao hii suluhu wanaifurahia.
Jinga moja limefika hapa linakwambia tumekuja kwenu mmeshindwa kutufunga hata hajui ushindi wa kwanza tumeupata kwao hii ni second leg. These type of people ndiyo unakaa hapa wanakuquote wanaandika ujinga wao wanayeya.
Majinga mengine yapo radhi hata yaedit ulichoandika.
Absurd.
One more thing, technically mara nyingi nani apige free kick inategemea na position ilipotokea faulo, ndio maana utanaona wana swap Willian, xhaka, Pepe, Lacazette, Luiz etc, nadhani unanielewa I dont need to go into detailsWillian anampa nini Arteta?
Lacazette kapiga faulo ya kwanza imegonga mwamba kwanini ya pili na ya tatu wamepiga wengine?
Huu ujinga wa backpass alioingia nao Willian ulikua wa kazi gani? Timu inataka kushinda mpo 4 mbele mpira unarudi nyuma ili iweje?
Tumehitaji kupunguza gape la kuingia top four na hivi ndiyo kikosi kinacheza? A win today could have taken us to 7th position with assurance of making it to top 4. Hiki nini sasa?
Ujinga mtupu. Ni rekodi poa kwamba united hajawahi kutufunga tangu 2018 but itamatter nini kama tutakua nje kabisa ya 6.
Inapigwa faulo Luiz anaugonga unaenda nje anashangilia dafuq is that? Celebrating to concede a corner?
Emile ana option ya mtu kulia na kushoto kwake ila anaamua kumrudishia aliye nyuma yake.
Ujinga mnene sana leo. Fvcked up our chances kisha same player atagewa tena namba. Hao united hawana vision hawajui wana mpango gani na mwaka huu au ujao so kwao hii suluhu wanaifurahia.
Jinga moja limefika hapa linakwambia tumekuja kwenu mmeshindwa kutufunga hata hajui ushindi wa kwanza tumeupata kwao hii ni second leg. These type of people ndiyo unakaa hapa wanakuquote wanaandika ujinga wao wanayeya.
Majinga mengine yapo radhi hata yaedit ulichoandika.
Absurd.
Tuliwakosa Saka Tierney lakini bado naona Tim ilikua sawa kwa upande wangu
Tim ilitengeneza nafasi za kutosha na mashambuliz yalikua mengi kwenye lango la man u
Laca akagongesha mwamba, pepe akwakosa Mara mbili, Smith Rowe shuti lake Kali likapanguliwa na de gea, wilian akakosa nafas ya wazi kabisa
Kilichotunyima ushindi ni bahati tu lakini Tim ilikua imara na ilitengeneza nafasi za kutosha tu
Nimependa combination ya Patey na Xhaka iko vzuri sana..wamepiga mpira mwingi na wanaonekana kuelewana zadi
Patey alikua anacheza Ila hakua fiti kwa asilimia Mia ndo Mana Kama alipoa flani ivi naona alikua anacheza kwa kuofia kutonesha maumivu ingawa alikua anaituliza Sana Tim yeye na Xhaka
Kama wasipopata majeraha Basi kiungo kitaendelea kuwa timamu zaidi..Xhaka Jana kapiga kazi ya kufa mtu
Nimependa Sana jins timu yetu inavyopambana kutafuta matokeo uwanjani kila mtu anafight anakimbia awezavyo
Kuna kitu naona kimewajia kichwani kuwa kufungwa hatustahili..all in all tujipange kwa next game
All the best our team " data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd2%2F1.5%2F16%2F1f44a.png&hash=d4db10086651ebcc47c4a9c855ffb041" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1">" title="
" width="" height="" />
![]()
![]()