Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu kiaje habari za siku nyingi.

Naona nimepitwa na mengi hapa.

Usajili Arsenal wamemkatalia Maitland Niles kwenda Leicester kwa sababu Arsenal wanawachukulia Leicester kama mahasimu kwenye kugombania nafasi za juu kwenye ligi.

Hivyo Arsenal wanaona Niles akienda Leicester atawaongozea nguvu.

Hivyo kuna uwezekano mkubwa akaenda West Brom.

Niles amekataa kwenda Southampton kwa kuogopa kupangwa nafasi ya beki ilhali yeye ni mchezaji wa kiungo.

Ni kama ilivyokuwa kwa Real Madrid ambao walikataa Odegaard asiende Real Sociedad kwani klabu zote zinapigania nafasi za juu kwenye La Liga.

Mustafi amekubaliana na Arsenal kukatiza mkataba wake na sasa aelekea Ujerumani kuchezea Schalke.

Dogo Joe Willock anaenda Newcastle.

Arsenal next, ni kesho na Wolverhampton Wanderers.
 
Usajili Updates:

Kuna mchezaji ameingia Arsenal kwa medical haijathibitishwa hadi kama ni Patrick van Aanholt au ni Roderick Miranda ambae ameondoka Wolverhampton.

Arsenal wanataka kusajili beki wa kushoto msaidizi wa Kieran Tierney.
 
According to
@MagpieMediaa
, Joe Willock to Newcastle is nearly done. The deal will see him stay at Tyneside for the remainder of this season & the entire 2021/22 season. Final agreements taking place. The deal should be completed very soon. #Arsenal


Image
 
I reckon if we don’t get this LB in, we’ll make a lot more use of Nelson on the wings with Saka as backup LB.
 
Back
Top Bottom