Nyie ndio kinyesi tena cha Binadamu mwenye uharoHili chama lako ni takataka..
Nyie ndio kinyesi tena cha Binadamu mwenye uharoHili chama lako ni takataka..
Kwa kweli ingekua kero leomtoe drw2 mana wote mna midomo sana
For the past 3 seasons we have been taking 4 points from haya maibilisiNot that much bad, we have taken 4 points from those fools
Arsenal 0-0 Manchester United FullTuwe wakweli nimeangalia benchi la kwetu ,uongo ni mbaya 1st eleven yetu ikishindwa kuperform hatutapata matokeo wadau,tuombe Mungu 1st eleven yetu iperform ijue leo Arsenal fans wote tunawategemea otherwise wasipoperform na Mechi itakuwa imeisha
Manchester United wana benchi zuri sana halafu nashangaa Nketiah, Willock hawa mpaka sasa wanafanya nini Arsenal hakuna timu inayowataka?hawana utofauti wakiwa uwanjani na nje ya uwanja ni ushuzi mtupu
Tunacheza na mahasimu tukiwa dhaifu sana![]()
No Auba, Saka,Tierneywatengenezaji nafasi za kufunga
Auba Saka na Tierney wangekuwepo naapa tungekuwa tunaserebukaMkuu kwani wewe chama gani?Kwa kweli ingekua kero leo
Mimi kwa kweli nimeridhika na hiyo point 1 tuliyopata, game ilikuwa ngumu. Tujipange sasa kwa mechi inayofuataNot that much bad, we have taken 4 points from those fools
Hivi kale katoto matata Saka ni majeruhi?Hongereni the gunners, I thought manure were more organized kuliko sisi, japo kukosekana kwa baadhi ya first team players kumeathiri kidogo uwezo wetu...
Arsenal 0-0 Manchester United Full
Nilisema na yametimia bahati mbaya tulikuwa na benchi dhaifu sanaAuba Saka na Tierney wangekuwepo naapa tungekuwa tunaserebuka
ALISIKIKA MLEVI MMOJA AKIROPOKA.Tukutane Europa utapasuka tu, huna uwezo wa kutufunga hata kikosini tuanzishe mademu wa Arsenal, Yaani wewe kutufunga labda sir Alex arudi kuwa kochaMKO KWENU MMESHINDWA KUSHINDA HATA BALL POSESSION!!!!..MANDEZI SANA NYIE.View attachment 1690248
Hivi kipindi cha pili Bruno Fernandes alikuwepo uwanjani?Tukutane Europa utapasuka tu, huna uwezo wa kutufunga hata kikosini tuanzishe mademu wa Arsenal, Yaani wewe kutufunga labda sir Alex arudi kuwa kocha
LFCMkuu kwani wewe chama gani?
Hehe leo walau mtalala vizuriHongereni the gunners, I thought manure were more organized kuliko sisi, japo kukosekana kwa baadhi ya first team players kumeathiri kidogo uwezo wetu...
Mechi ya kwanza mkiwa kwenu mliinamishwa au umesahau wewe kiazi?MKO KWENU MMESHINDWA KUSHINDA HATA BALL POSESSION!!!!..MANDEZI SANA NYIE.View attachment 1690248