Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
MKO KWENU MMESHINDWA KUSHINDA HATA BALL POSESSION!!!!..MANDEZI SANA NYIE.View attachment 1690248
Basi nyie mlioongoza possession ndio mmeshinda
MKO KWENU MMESHINDWA KUSHINDA HATA BALL POSESSION!!!!..MANDEZI SANA NYIE.View attachment 1690248
kakojoe ulale... Sheffield juzi kakuchoresha saba geto kwako nw unakuja kutoa jazba zako huku... 🚮MKO KWENU MMESHINDWA KUSHINDA HATA BALL POSESSION!!!!..MANDEZI SANA NYIE.View attachment 1690248
Hiyo hype isikutishe,Performer wa vimechi vidogoHivi kipindi cha pili Bruno Fernandes alikuwepo uwanjani?
Kiukweli binafsi nimeona overall team performance. Nisiwe muongo, sikutegemea Willian angelicheza vile, amejitahidi.Willian anampa nini Arteta?
Lacazette kapiga faulo ya kwanza imegonga mwamba kwanini ya pili na ya tatu wamepiga wengine?
Huu ujinga wa backpass alioingia nao Willian ulikua wa kazi gani? Timu inataka kushinda mpo 4 mbele mpira unarudi nyuma ili iweje?
Tumehitaji kupunguza gape la kuingia top four na hivi ndiyo kikosi kinacheza? A win today could have taken us to 7th position with assurance of making it to top 4. Hiki nini sasa?
Ujinga mtupu. Ni rekodi poa kwamba united hajawahi kutufunga tangu 2018 but itamatter nini kama tutakua nje kabisa ya 6.
Inapigwa faulo Luiz anaugonga unaenda nje anashangilia dafuq is that? Celebrating to concede a corner?
Emile ana option ya mtu kulia na kushoto kwake ila anaamua kumrudishia aliye nyuma yake.
Ujinga mnene sana leo. Fvcked up our chances kisha same player atagewa tena namba. Hao united hawana vision hawajui wana mpango gani na mwaka huu au ujao so kwao hii suluhu wanaifurahia.
Jinga moja limefika hapa linakwambia tumekuja kwenu mmeshindwa kutufunga hata hajui ushindi wa kwanza tumeupata kwao hii ni second leg. These type of people ndiyo unakaa hapa wanakuquote wanaandika ujinga wao wanayeya.
Majinga mengine yapo radhi hata yaedit ulichoandika.
Absurd.
Arse8 kwao hii draw ni ushindi tosha..Arse8 wameifunga man u draw
Mechi iliyopita Pepe kacheza namba ya Willian.Kiukweli binafsi nimeona overall team performance. Nisiwe muongo, sikutegemea Willian angelicheza vile, amejitahidi.
Pepe na Lacazette wamecheza pia, Manchester United haikuwa dhaifu kama wengi wanavyodhani au walivyotegemea.
Mdogo mdogo unaanza kuja chini,mwisho wa siku unajikuta kwenye nafasi za Futuhi.......ALISIKIKA MLEVI MMOJA AKIROPOKA.
Umesahau tulivyowapiga Goli 3 na chupi zikawabana???Arse8 kwao hii draw ni ushindi tosha..
Wilian alibadilisha game mpaka manyumbu wakaona gizaKiukweli binafsi nimeona overall team performance. Nisiwe muongo, sikutegemea Willian angelicheza vile, amejitahidi.
Pepe na Lacazette wamecheza pia, Manchester United haikuwa dhaifu kama wengi wanavyodhani au walivyotegemea.
Castr mimi ni moja ya watu wasiomuelewa Willian nadhani wengi wanafahamu hili, lakini leo ni wazi nimeona amejitahidi katika uchezaji.Mechi iliyopita Pepe kacheza namba ya Willian.
Mechi hii kuna new signing inayoweza kucheza namba ya Pepe kulikua na tabu gani kubadilisha kwa kumpeleka Pepe LW na Odegaard RW?
Mapenzi uliyonayo kwa Willian ongeza. A player anashindwa kuscore 1 v 1, na siyo mara yake ya kwanza ni tabia yake unasema ameperform vizuri???
Amejitahidi kweli, hasa kwa kutrack back na kusaidia Cédric na umiliki wa mpira LW.Wilian alibadilisha game mpaka manyumbu wakaona giza
aisee leo nime enjoy kbc mpira wao pia willian kajitahid aisee sema angekuwepo saka auba na kt aisee wasingepata sare
ukiacha ile nafas aaliyokosa, amecheza vzr, hata kwenye pages za arsenal wanamsifia leo kacheza vzr, na arteta anasema alimuingiza kwa tactica reason, sio kwamba martinell aliumia, martinel alikuwa bora kuzuia kuliko kushambulia,Amejitahidi kweli, hasa kwa kutrack back na kusaidia Cédric na umiliki wa mpira LW.