Tony Adam's just supported this statementMartinelli has been so good defensively today.
Leo muliemtuma hatuwezi.Tunawategemea kuzima mdomo wa hao Man Utd.
Hahahaha angalia mkuu na kauli zako sometime zinabeba ukweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Safari ya kurudi tulipo toka inaanza leo.
Hili chama lako ni takataka..Chama langu linasonga kwa mwendo wa farasi au kinyonga!
Leo naona anapoteza sana mipira.Partey sometimes he behaves foolishly
Hamna team nyie Kwa spurs 6 tenaArsenal mumetualibia show