Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
No Saka & Tierney in the first 11.???




watengenezaji nafasi za kufungaHakuna mechi ya umuhimu kama leo hii yaani hakuna jukwaa litakimbiwa hili tukifungwa na hawa jamaa maumivu yake hayaelezeki ni yanauma mno Players wasituangushe leo COYGTuwe wakweli nimeangalia benchi la kwetu ,uongo ni mbaya 1st eleven yetu ikishindwa kuperform hatutapata matokeo wadau,tuombe Mungu 1st eleven yetu iperform ijue leo Arsenal fans wote tunawategemea otherwise wasipoperform na Mechi itakuwa imeisha
Manchester United wana benchi zuri sana halafu nashangaa Nketiah, Willock hawa mpaka sasa wanafanya nini Arsenal hakuna timu inayowataka?hawana utofauti wakiwa uwanjani na nje ya uwanja ni ushuzi mtupu
Tunacheza na mahasimu tukiwa dhaifu sana![]()
No Auba, Saka,Tierneywatengenezaji nafasi za kufunga
Hakuna mechi ya umuhimu kama leo hii yaani hakuna jukwaa litakimbiwa hili tukifungwa na hawa jamaa maumivu yake hayaelezeki ni yanauma mno Players wasituangushe leo COYG
We zama machimbo, wala usipoteze muda kuangalia mechi utakayofungwa 2
Kaandae majavi ya wageni wakija msibani![]()