Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
mech 2 tu tutakuwa tumeingia top 4,
Angalia thamani ya Wachezaji tulikuwa nao enzi hiyo na hawa tulionao.Nani anaikumbuka hii game? ilikua game ya 2012 Capital One Cup, Arsenal tulicheza na Reading, tulikua ugenini. Wote hapo tulikua tumekutana kugombea nafasi ya kwenda robo fainali.
Enzi hizo tulikua tunawaita Reading Wakusoma, Arsenal tuna Wenger tuna wakina Giroud na wenzake yaani tulikua stronger team. Reading ingawa uwanja ulikua wake ila alikua underdog. Kabla ya hapo tulikua tumekutana nao mara 10 na mara zote tulikua tumewapiga.
Kipigo cha mwisho kilikua mbili bila kwenye ligi kwahiyo hata leo Arsenal ilikua inaonekana inaenda kujinyakulia ushindi. Kwenye pre-match Wenger akasema hili kombe kwake ni kipaumbele cha tano, vinne vya kwanza ni ligi, uefa, FA na top four.
Basi bwana muda wa game ukafika na game ikaanza.
Wakusoma waliuwasha moto mapema sana. Dakika ya tatu likapigwa shuti likagonga mwamba, dakika ya tisa shuti likazuiwa na beki, dakika ya 12 tukapigwa kaunta tukapigwa chuma cha kwanza. Kisha Koscielny akajifunga ikawa mbili bila, dakika mbili baada ya Koscielny kujifunga Wakusoma wakatuongeza la 3. Dakika ya 37 tukaongezwa la nne.
Mtangazaji mmoja akasema Arsenal inakufa, na alikua sahihi kila kitu shaghala baghala.
Refa akaongeza dakika 2 ili kwenda mapumziko. Dakika ya pili ikiwa inaishia Arshavin, aliyesababisha goli la kwanza, akatoa assisst kwa Walcot tukapata goli moja, ikawa 4 kwa 1 tukaenda break.
Tulivyorudi tulitawala mchezo ila ilikua komedi tu. Dakika ya 88 tukapata goli la 2 kupitia kwa Giroud. Zikiwa zimebaki dakika 2 mpira kuisha watu tunajua kabisa Wakusoma wameshashinda hii game dakika ya 89 Koscielny akatia kichwa kona ya Walcott ikawa 4 kwa 3.
Ikagonga DK ya 90 na zikaongezwa dakika 4. Arsenal imechachamaa muda huo Walcott akaona isiwe tabu akazama ndani ya box akiwa na mpira akaachia shuti kikawa chuma cha 4. Kwahiyo matokeo yakawa 4 kwa 4. Wakusoma wakamind kwakua goli liliingia dakika ya 96 wakati muda ulioongezwa ni DK 4.
Ubishi wa hapa na pale game ikaenda extra. Ila kabla game haijaanza Giroud na Coquelin ikabidi wafuate jezi zao kwa mashabiki kwakua walizirusha kwa mashabiki wakidhani game imeisha.
Half time ya extra ikiwa inataka kuisha Chamakh aka Chamaki Nchanga akatia chuma cha tano. Arsenal tukajua tumemaliza kazi, zikiwa zimebaki dakika 5 mpira kuisha Wakusoma wakatia chuma cha tano ubao ukasoma 5 kwa 5.
Na zimebaki dakika 2 mpira uishe.
Walcott akaibeba arsenal tena kwa kumalizia shuti lililopigwa na Arshavin ubao ukasoma 6 kwa 5.
Arsenal imeshinda mpira umeisha au siyo? Hapana, Wakusoma wakatupiga shambulio mpira ukatua kwa Walcott, Walcott akauclear mchezaji wa Reading akajaribu kuurukia akaukosa ukakutana na chamaki nchanga akiwa one vs one na kipa wa Wakusoma, kwa upooole akaunyanyua mpira kikawa chuma cha 7.
Na hayo ndiyo yakawa matokeo ya mwisho. Arsenal ikafuzu kwenda robo kwa msimu wa 10 mfululizo.
Kikosi cha Arsenal kilichoanza kilikua;
Martinez
Carl Jenkinson, Johan Djourou, Laurent Koscielny, Ignasi Miguel
Francis Coquelin, Emmanuel Frimpong
Theo Walcott, Serge Gnabry, Andrey Arshavin
Marouane Chamakh
Kama Werner, Ziyech na Havertz hawana tofautiWillan ni utumbo![]()
Juzi naangalia game vs soton niliikumbuka hii mechi na reading sababu ya walcot, alikuwa flop sn kipindi icho,akapata nafasi akapiga hattrick mzee akamrudisha kwenye squad ya Epl first eleven,akauwasha moto wa kifuu ni soo, nadhani toka hapo alikuwa mchezaji tuliyemtegemea kila mechi msimu huo, akapata injury game ya FA na spurs,nahisi alikuwa kashawaweka goli mbili.Nani anaikumbuka hii game? ilikua game ya 2012 Capital One Cup, Arsenal tulicheza na Reading, tulikua ugenini. Wote hapo tulikua tumekutana kugombea nafasi ya kwenda robo fainali.
Enzi hizo tulikua tunawaita Reading Wakusoma, Arsenal tuna Wenger tuna wakina Giroud na wenzake yaani tulikua stronger team. Reading ingawa uwanja ulikua wake ila alikua underdog. Kabla ya hapo tulikua tumekutana nao mara 10 na mara zote tulikua tumewapiga.
Kipigo cha mwisho kilikua mbili bila kwenye ligi kwahiyo hata leo Arsenal ilikua inaonekana inaenda kujinyakulia ushindi. Kwenye pre-match Wenger akasema hili kombe kwake ni kipaumbele cha tano, vinne vya kwanza ni ligi, uefa, FA na top four.
Basi bwana muda wa game ukafika na game ikaanza.
Wakusoma waliuwasha moto mapema sana. Dakika ya tatu likapigwa shuti likagonga mwamba, dakika ya tisa shuti likazuiwa na beki, dakika ya 12 tukapigwa kaunta tukapigwa chuma cha kwanza. Kisha Koscielny akajifunga ikawa mbili bila, dakika mbili baada ya Koscielny kujifunga Wakusoma wakatuongeza la 3. Dakika ya 37 tukaongezwa la nne.
Mtangazaji mmoja akasema Arsenal inakufa, na alikua sahihi kila kitu shaghala baghala.
Refa akaongeza dakika 2 ili kwenda mapumziko. Dakika ya pili ikiwa inaishia Arshavin, aliyesababisha goli la kwanza, akatoa assisst kwa Walcot tukapata goli moja, ikawa 4 kwa 1 tukaenda break.
Tulivyorudi tulitawala mchezo ila ilikua komedi tu. Dakika ya 88 tukapata goli la 2 kupitia kwa Giroud. Zikiwa zimebaki dakika 2 mpira kuisha watu tunajua kabisa Wakusoma wameshashinda hii game dakika ya 89 Koscielny akatia kichwa kona ya Walcott ikawa 4 kwa 3.
Ikagonga DK ya 90 na zikaongezwa dakika 4. Arsenal imechachamaa muda huo Walcott akaona isiwe tabu akazama ndani ya box akiwa na mpira akaachia shuti kikawa chuma cha 4. Kwahiyo matokeo yakawa 4 kwa 4. Wakusoma wakamind kwakua goli liliingia dakika ya 96 wakati muda ulioongezwa ni DK 4.
Ubishi wa hapa na pale game ikaenda extra. Ila kabla game haijaanza Giroud na Coquelin ikabidi wafuate jezi zao kwa mashabiki kwakua walizirusha kwa mashabiki wakidhani game imeisha.
Half time ya extra ikiwa inataka kuisha Chamakh aka Chamaki Nchanga akatia chuma cha tano. Arsenal tukajua tumemaliza kazi, zikiwa zimebaki dakika 5 mpira kuisha Wakusoma wakatia chuma cha tano ubao ukasoma 5 kwa 5.
Na zimebaki dakika 2 mpira uishe.
Walcott akaibeba arsenal tena kwa kumalizia shuti lililopigwa na Arshavin ubao ukasoma 6 kwa 5.
Arsenal imeshinda mpira umeisha au siyo? Hapana, Wakusoma wakatupiga shambulio mpira ukatua kwa Walcott, Walcott akauclear mchezaji wa Reading akajaribu kuurukia akaukosa ukakutana na chamaki nchanga akiwa one vs one na kipa wa Wakusoma, kwa upooole akaunyanyua mpira kikawa chuma cha 7.
Na hayo ndiyo yakawa matokeo ya mwisho. Arsenal ikafuzu kwenda robo kwa msimu wa 10 mfululizo.
Kikosi cha Arsenal kilichoanza kilikua;
Martinez
Carl Jenkinson, Johan Djourou, Laurent Koscielny, Ignasi Miguel
Francis Coquelin, Emmanuel Frimpong
Theo Walcott, Serge Gnabry, Andrey Arshavin
Marouane Chamakh
Kiukweli brother mysterio binafsi simpendi pepeLineups confirmed, sio mbaya sana, with intensity we can get something out of this match.
Arsenal, though, make five changes from Saturday - Nketiah, Martinelli, Pepe, Elneny and Gabriel come out, replaced by Luiz, Smith Rowe, Partey, Saka and Lacazette. Kieran Tierney doesn't make the squad, so Cedric keeps his place at left back